Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha?

Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na stahiki zako hazipo well defined? Nani wakufikiri na kutatua matatizo yenu? Mnalogana kisa per diem?

Kazi hazifanyiki kisa per diem? Then mnatuambua mnamwamini Mungu? Ladhani Kwa situation hii abayo JK amewahi kuikemea, JPM akakemea na Mama amekemea na Bado mnaendelea kubaini tu Kwa mfumo wa Sasa siyo rafiki kwenu wala kwetu.

Msipokibali kufumua mtaishia kulogana na kuuwama Kisha mnaacha pesa na madaraka mliyoshindwa kuyawekea mfumo

Nchi ina Mawaziri wachawi Karne hii? Wananchi tunaongozwa na wachacwi na tunasubiri maendeleo? We will never develope or rise from poverty if we continue believing nguvu za Giza.
 
Mbaya zaidi ni kuwa nchi ina viongozi wanaoamini katika ushirikina.

Amandla...
 
Ukomo wa kufikiri ukifikia katika kiwango cha juu kabisa "highest level" mtu mwenyewe aanza kufikiri Ushirikina.

Ndicho kinachoonekana kuwatokea viongozi wengi kwa sasa.
 
Uchawi nchini miaka hii watu wanafanya wazi wazi matukio, hawajifichi wasijulikane kiurahisi kama zamani.

Viongozi nao siku hizi lazima wana wasaidizi au ndugu na marafiki wambea.

Watu kupaki magari na kusubiriana kuona mtaalam, ni kawaida wazi wazi.

Wasiojali wanasema ndio njia yao hawana namna.

Naamini wapenda ya giza hawawezi kukaa ofisi moja au wizarani na ambaye anamcha Mungu katika roho na kweli, lazima aandamwe kwa kuwa kizuizi kwao kwa nguvu alizonazo kiroho.

Tusalie Taifa letu na Viongozi waovu wataondoana tu wenyewe. Hii ndio njia sahihi kwetu Wananchi.
 
Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na stahiki zako hazipo well defined? Nani wakufikiri na kutatua matatizo yenu? Mnalogana kisa per diem? Kazi hazifanyiki kisa per diem? Then mnatuambua mnamwamini Mungu? Ladhani Kwa situation hii abayo JK amewahi kuikemea, JPM akakemea na Mama amekemea na Bado mnaendelea kubaini tu Kwa mfumo wa Sasa siyo rafiki kwenu wala kwetu. Msipokibali kufumua mtaishia kulogana na kuuwama Kisha mnaacha pesa na madaraka mliyoshindwa kuyawekea mfumo

Nchi ina Mawaziri wachawi Karne hii? Wananchi tunaongozwa na wachacwi na tunasubiri maendeleo? We will never develope or rise from poverty if we continue believing nguvu za Giza.

Tamaa ya madaraka ipo duniani kote. Mbinu zinazotumika huendana na mazingira mahalia.
 
Chama Cha Mazuzu, urozi na urogi ndio wakijuacho
 
Suala la uchawi ni la dunia nzima.. cha msingi mawaziri wazingatie wanachohitajika kufanya. Kama ni uchawi kila mtu ni mchawi
 
Wakati wa uchaguzi kama una ndugu yako mwenye ukemavu wa ngozi ukiweza kumuondoa Tanzania mpaka uchaguzi upite ni salama yake.
Kipenzi umelisikia tangazo la kujipimia lakini?Mbona sikusomi kabisa kwenye hili suala?😁😁😁
 
Tanzania yangu ninaanza kuiona ina sifa zote za kuwa ni FAILED STATE
 
Kuna yule jamaa anaitwa saidi bagaile mzee wa matunguli yule live kabisa hachelewi kuwahisha mtu kisa posho

Beware na mawaziri,manaibu na wabunge wanaovaa mipete mikubwa mikubwa ya kutisha wamepewa na masangoma wao
 
Back
Top Bottom