Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kuna mbunge mmoja aliwai acha mke na kuoa mganga wa kienyeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah hatariAskofu Mwingira
Ikulu kunamapepo
Simbachawene
Igp mkamate askofu
Makamu wa Rais
Mawaziri acheni kurogana
HII NDIYO Tanzania salama
Kipenzi tangazo lilikuwa live TBC Taifa!😁😁😁Mpenzi nimeishiwa nguvu, kumbuka ushindi waliupoka kimabavu na sasa unasikia hizi kauli.
Bora walogane lakini hili la KULA ILA WASIVIMBEWE ni UHAINI KWA TAIFA.Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na stahiki zako hazipo well defined? Nani wakufikiri na kutatua matatizo yenu? Mnalogana kisa per diem? Kazi hazifanyiki kisa per diem? Then mnatuambua mnamwamini Mungu? Ladhani Kwa situation hii abayo JK amewahi kuikemea, JPM akakemea na Mama amekemea na Bado mnaendelea kubaini tu Kwa mfumo wa Sasa siyo rafiki kwenu wala kwetu. Msipokibali kufumua mtaishia kulogana na kuuwama Kisha mnaacha pesa na madaraka mliyoshindwa kuyawekea mfumo
Nchi ina Mawaziri wachawi Karne hii? Wananchi tunaongozwa na wachacwi na tunasubiri maendeleo? We will never develope or rise from poverty if we continue believing nguvu za Giza.
Umenikumbusha mbali. Alipata kusema mmoja wa viongozi wetu waandamizi "Watu wananisakama sana lakini nimegundua wanachotaka ni cheo changu. Basi kama ni hivyo mimi naachia ngazi" Hapo yakafuata makofi ya kushangilia uamuzi huo.Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na stahiki zako hazipo well defined? Nani wakufikiri na kutatua matatizo yenu? Mnalogana kisa per diem? Kazi hazifanyiki kisa per diem? Then mnatuambua mnamwamini Mungu? Ladhani Kwa situation hii abayo JK amewahi kuikemea, JPM akakemea na Mama amekemea na Bado mnaendelea kubaini tu Kwa mfumo wa Sasa siyo rafiki kwenu wala kwetu. Msipokibali kufumua mtaishia kulogana na kuuwama Kisha mnaacha pesa na madaraka mliyoshindwa kuyawekea mfumo
Nchi ina Mawaziri wachawi Karne hii? Wananchi tunaongozwa na wachacwi na tunasubiri maendeleo? We will never develope or rise from poverty if we continue believing nguvu za Giza.
Hata vitabu vya dini vimeandika uchawi upoAliyegundua kuna wachawi lazima ana imani za kichawi. Period!
Naomba kuuliza......Hivi Wizara haiwezi kuongozwa na Makatibu Wakuu tu, mpaka kuwa na Waziri na Naibu Waziri ambao wakati mwingine hata hawana weledi/vigezo/ujuzi/maarifa na uzoefu wa Wizara husika? Tukiwa tunajipambanua kujenga nchi, kwanini tusipunguze gharama kama hizo za kuwa na utitiri wa Mawaziri?Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na stahiki zako hazipo well defined? Nani wakufikiri na kutatua matatizo yenu? Mnalogana kisa per diem? Kazi hazifanyiki kisa per diem? Then mnatuambua mnamwamini Mungu? Ladhani Kwa situation hii abayo JK amewahi kuikemea, JPM akakemea na Mama amekemea na Bado mnaendelea kubaini tu Kwa mfumo wa Sasa siyo rafiki kwenu wala kwetu. Msipokibali kufumua mtaishia kulogana na kuuwama Kisha mnaacha pesa na madaraka mliyoshindwa kuyawekea mfumo
Nchi ina Mawaziri wachawi Karne hii? Wananchi tunaongozwa na wachacwi na tunasubiri maendeleo? We will never develope or rise from poverty if we continue believing nguvu za Giza.
Mawaziri wote na wabunge washirikina vibaya sana yaani ni machawii[emoji2]Hilo ni ajabu la dunia.
Waziri unakuwa mchawi,
Yawezekana ni kweli sasa inakuwaje mpaka kule juu wakiri hizi imani mbovu.
Au wanataka kusema mwendazake naye alirogwa,
Suala la uchawi ni la dunia nzima.. cha msingi mawaziri wazingatie wanachohitajika kufanya. Kama ni uchawi kila mtu ni mchawi
Nimecha sana nazile PHD wakienda kwa waganga wanaziacha wapi sebuleni au chumbani bora machinga wako huru kuli huu ujingaHuijui ccm wewe , huwezi kuwa kiongozi bila kuzindikwa
Nilijua sisi tu ndio tuna njaa kumbe hadi mawaziri?Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na stahiki zako hazipo well defined? Nani wakufikiri na kutatua matatizo yenu? Mnalogana kisa per diem? Kazi hazifanyiki kisa per diem? Then mnatuambua mnamwamini Mungu? Ladhani Kwa situation hii abayo JK amewahi kuikemea, JPM akakemea na Mama amekemea na Bado mnaendelea kubaini tu Kwa mfumo wa Sasa siyo rafiki kwenu wala kwetu. Msipokibali kufumua mtaishia kulogana na kuuwama Kisha mnaacha pesa na madaraka mliyoshindwa kuyawekea mfumo
Nchi ina Mawaziri wachawi Karne hii? Wananchi tunaongozwa na wachacwi na tunasubiri maendeleo? We will never develope or rise from poverty if we continue believing nguvu za Giza.
PoorSuala la uchawi ni la dunia nzima.. cha msingi mawaziri wazingatie wanachohitajika kufanya. Kama ni uchawi kila mtu ni mchawi
Uchawi ni kitu cha mwisho kabisa mtu kukiamini. Yaani hata mazingaobwe yanatazamwa kama uchawi.Aliyegundua kuna wachawi lazima ana imani za kichawi. Period!
Tubadili katiba ili hilo litokee ila nakuhakikishia kabla ya mswada hujauwakilisha mjengoni utakuwa umesharogwa....Naomba kuuliza......Hivi Wizara haiwezi kuongozwa na Makatibu Wakuu tu, mpaka kuwa na Waziri na Naibu Waziri ambao wakati mwingine hata hawana weledi/vigezo/ujuzi/maarifa na uzoefu wa Wizara husika? Tukiwa tunajipambanua kujenga nchi, kwanini tusipunguze gharama kama hizo za kuwa na utitiri wa Mawaziri?
Nadhani kama Nchi tutafute mfumo utakao tutoa hapa tulipo na kutupeleka mbali na kwa haraka. Naomba mnijuze umuhimu wa Mawaziri....
Dunia gani unayo zungumzia uchawi wa karne ya 21 ni technology angalia vituo vya anga za mbali ISS wanasayansi wakifanya uchawi wa kuzunguka Dunia kwa dk 90 nyie mumewekeza kwenye ulozi wa karne ya 7, mnategemea maendele kwa akili hizi,maendeleo mtayaona kwenye move ukiona mtu kawekeza kwenye uchawi ujue elimu yake na upeo wake ni ndogo sanaSuala la uchawi ni la dunia nzima.. cha msingi mawaziri wazingatie wanachohitajika kufanya. Kama ni uchawi kila mtu ni mchawi