mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Ndio maana ya Imani!Kuna mengi ktk bible huwa hayana majibu
[emoji116][emoji116]
Waebrania 11
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ya Imani!Kuna mengi ktk bible huwa hayana majibu
Ulikuwapo? Wacha ujinga mwamba!Hakuna cha ajabu hapo hayo ni mawazo yako tu isitoshe hiyo ndio miaka halisi ya kuishi kwa mtu achana stori za kina Nuhu kuwa waliishi miaka 910 hizo ni hadithi za kutunga hakuna mtu anayeweza kuishi miaka kama hiyo tokea dunia itokee
Imani haichunguzikiNdio maana ya Imani!
[emoji116][emoji116]
Waebrania 11
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
We ulikuwapo?Ulikuwapo? Wacha ujinga mwamba!
Achana na hii mind programming inayohesabu muda ndo inatumaliza, yaani biblia inipangie mimi kuishi miaka 80???Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana.
Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini.
Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu.
Nikafumba macho. Nikafunua paap! katikati. Macho yangu yakaangukia maneno yafuatayo:
"Siku za miaka yetu ni miaka sabini,
Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;
Na kiburi chake ni taabu na ubatili,
Maana chapita upesi tukatokomea Mara."
Daa! Nika- Google, nikatambua kitabu hicho kiliandikwa 460 B. C. E (miaka 2,480 hivi iliyopita)
Sasa nimebaki najiuliza, kama mambo yako wazi hivi kwa muda mrefu hivyo, kwa nini binadamu tunahangaikia sana maisha kiasi cha kutoana uhai? (kitabu ni Zaburi ya 90, 10 Union version)
Unaweza kuchunguza lakini mwisho wa siku ni ImaniImani haichunguziki
mkuu,hiyo tafiti yako ilifanywa na walevi wa galilaya, toka dunia iumbwe hakujawahi na hakutowahi kuwa na watu wanaishi wastani wa miaka 35, ikiwa hivo dunia isingekuwa na watu leoUtafiti umeonyesha kiwango cha umri cha kuishi enzi za akina nuhu ni wastan wa miaka 35 tu,,
Huyu aliesema watu waliishi miaka 900 ,alikua kanywa
Sijaelewa utakacho hasa maana suala la kutoa uhai wa mtu ni dhambi kama dhambi zingine apart from zile 9.Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana.
Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini.
Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu.
Nikafumba macho. Nikafunua paap! katikati. Macho yangu yakaangukia maneno yafuatayo:
"Siku za miaka yetu ni miaka sabini,
Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;
Na kiburi chake ni taabu na ubatili,
Maana chapita upesi tukatokomea Mara."
Daa! Nika- Google, nikatambua kitabu hicho kiliandikwa 460 B. C. E (miaka 2,480 hivi iliyopita)
Sasa nimebaki najiuliza, kama mambo yako wazi hivi kwa muda mrefu hivyo, kwa nini binadamu tunahangaikia sana maisha kiasi cha kutoana uhai? (kitabu ni Zaburi ya 90, 10 Union version)
wewe una uhakika gani kama Nuhu hakuishi miaka 910?Hebu kwa uelewa wako tuambie aliishi miaka mingapi?Hakuna cha ajabu hapo hayo ni mawazo yako tu isitoshe hiyo ndio miaka halisi ya kuishi kwa mtu achana stori za kina Nuhu kuwa waliishi miaka 910 hizo ni hadithi za kutunga hakuna mtu anayeweza kuishi miaka kama hiyo tokea dunia itokee
Sawa, sasa nikuulize swali, wana wa israel, inasemekana walitanga tanga jangwani miaka 40 tu, na ile generation walikufa wote, kuachia harun na nani sijui,mkuu,hiyo tafiti yako ilifanywa na walevi wa galilaya, toka dunia iumbwe hakujawahi na hakutowahi kuwa na watu wanaishi wastani wa miaka 35, ikiwa hivo dunia isingekuwa na watu leo
[emoji116]wewe una uhakika gani kama Nuhu hakuishi miaka 910?Hebu kwa uelewa wako tuambie aliishi miaka mingapi?
Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana.
Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini.
Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu.
Nikafumba macho. Nikafunua paap! katikati. Macho yangu yakaangukia maneno yafuatayo:
"Siku za miaka yetu ni miaka sabini,
Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini;
Na kiburi chake ni taabu na ubatili,
Maana chapita upesi tukatokomea Mara."
Daa! Nika- Google, nikatambua kitabu hicho kiliandikwa 460 B. C. E (miaka 2,480 hivi iliyopita)
Sasa nimebaki najiuliza, kama mambo yako wazi hivi kwa muda mrefu hivyo, kwa nini binadamu tunahangaikia sana maisha kiasi cha kutoana uhai? (kitabu ni Zaburi ya 90, 10 Union version)
inafikirisha,ila wacha wajuvi wakuje na udadavuzi zaidi
Mkuu mimi sio mtaalamu wa biblia, ila kama umesema walitanga tanga jangwani si its likely walikufa kwa complications za kukaa sehemu yenye jangwa,mfano malnutrition,kiu nkSawa, sasa nikuulize swali, wana wa israel, inasemekana walitanga tanga jangwani miaka 40 tu, na ile generation walikufa wote, kuachia harun na nani sijui,
So inakuaje hapa?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mambo Ya Walawi, Waebrania, Warumi, Waefeso, Wagalatia, yanakuhusu nini wewe Mmatumbi?Kipi unahisi ni hadithi ya kutungwa hapo Mkuu.
Hiyo miaka 350 mbona ni michache mno.
Mbona Kobe anapiga miaka zaidi ya hiyo
Hakuna mtu ambae anaweza kuvuka miaka zaidi ya 200 toka mwanzo ww unasema yupo tuambie na utupe ushahidiwewe una uhakika gani kama Nuhu hakuishi miaka 910?Hebu kwa uelewa wako tuambie aliishi miaka mingapi?
Kati ya watu wa zamani na wa sasa wapi wameaishi maisha marefu?Hakuna binadamu anayeweza kufika miaka zaidi ya 200 miili yetu cell zake hazina uwezo huo that's why modern life pamoja na improvement ya medicine lkn watu hata miaka 100 issue sembuse zamani ambapo watu walikuwa wanakufa mapema kwa magonjwa we hujiulizi kwanini population growth inaongezeka daily
Bible ni hadithi za waebrania na si za kweli