Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Wa sasaKati ya watu wa zamani na wa sasa wapi wameaishi maisha marefu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa sasaKati ya watu wa zamani na wa sasa wapi wameaishi maisha marefu?
Usome pale mtume alipooa katoto ka miaka 6 akiwa na umri takribani miaka 50.Na Quran ukitaka busara usome kitabu kipi?
Za uongo teza za kutunga kihuniUnaamini vipi stori za uwongo ambazo hazina ukweli wowote
Huyo ni kobe sio weweKipi unahisi ni hadithi ya kutungwa hapo Mkuu.
Hiyo miaka 350 mbona ni michache mno.
Mbona Kobe anapiga miaka zaidi ya hiyo
Hawatoniteka kirahisu kwa kisingizio cha IMANINdio maana ya Imani!
[emoji116][emoji116]
Waebrania 11
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
PointSawa, sasa nikuulize swali, wana wa israel, inasemekana walitanga tanga jangwani miaka 40 tu, na ile generation walikufa wote, kuachia harun na nani sijui,
So inakuaje hapa?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Swali zuri sana kwa sisi wamatumbi tunaoshikilia mila za watuMambo Ya Walawi, Waebrania, Warumi, Waefeso, Wagalatia, yanakuhusu nini wewe Mmatumbi?
Kupanga ni kuchagua broHawatoniteka kirahisu kwa kisingizio cha IMANI