Nimeshtushwa na maneno ya msingi sana ya Biblia Takatifu!!

Hakuna cha ajabu hapo hayo ni mawazo yako tu isitoshe hiyo ndio miaka halisi ya kuishi kwa mtu achana stori za kina Nuhu kuwa waliishi miaka 910 hizo ni hadithi za kutunga hakuna mtu anayeweza kuishi miaka kama hiyo tokea dunia itokee
Ulikuwapo? Wacha ujinga mwamba!
 
Ndio maana ya Imani!
[emoji116][emoji116]
Waebrania 11
1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Imani haichunguziki
 
Achana na hii mind programming inayohesabu muda ndo inatumaliza, yaani biblia inipangie mimi kuishi miaka 80???
Wakati kama tukiamua hata miaka mia mbili tunaenda..ila programme hii ndo inatupoteza
 
Vitu vya kiimani huleta mkanganyiko kwa wasio amini... Uletapo mada za kiimani hakikisha umeleta kwa watu walio na Imani ndo maana utakuta Kuna mahali special ambapo kama mtu ana Imani basi hupatafuta mwenyewe, Kuleta mada za kiimani humu kwenye jukwaa la hoja basi ni sawa na kwenda kuhubiri baa... Kila mlevi ana hoja yake, Wapo watakaokuelewa, wapo ambao hawatakuelewa Ila wapo pia ambao watataka kukuonesha uelewa zaidi.f
 
Utafiti umeonyesha kiwango cha umri cha kuishi enzi za akina nuhu ni wastan wa miaka 35 tu,,
Huyu aliesema watu waliishi miaka 900 ,alikua kanywa
mkuu,hiyo tafiti yako ilifanywa na walevi wa galilaya, toka dunia iumbwe hakujawahi na hakutowahi kuwa na watu wanaishi wastani wa miaka 35, ikiwa hivo dunia isingekuwa na watu leo
 
Sijaelewa utakacho hasa maana suala la kutoa uhai wa mtu ni dhambi kama dhambi zingine apart from zile 9.
Ata Kaini alitoa uhai wa nduguye Abeli.
 
Hakuna cha ajabu hapo hayo ni mawazo yako tu isitoshe hiyo ndio miaka halisi ya kuishi kwa mtu achana stori za kina Nuhu kuwa waliishi miaka 910 hizo ni hadithi za kutunga hakuna mtu anayeweza kuishi miaka kama hiyo tokea dunia itokee
wewe una uhakika gani kama Nuhu hakuishi miaka 910?Hebu kwa uelewa wako tuambie aliishi miaka mingapi?
 
mkuu,hiyo tafiti yako ilifanywa na walevi wa galilaya, toka dunia iumbwe hakujawahi na hakutowahi kuwa na watu wanaishi wastani wa miaka 35, ikiwa hivo dunia isingekuwa na watu leo
Sawa, sasa nikuulize swali, wana wa israel, inasemekana walitanga tanga jangwani miaka 40 tu, na ile generation walikufa wote, kuachia harun na nani sijui,
So inakuaje hapa?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi sio mtaalamu wa biblia, ila kama umesema walitanga tanga jangwani si its likely walikufa kwa complications za kukaa sehemu yenye jangwa,mfano malnutrition,kiu nk
maana ukikosa mlo mzuri na maji hata ukirudi sehemu yenye hivo vitu kuna uwezekano wa kufa
 
wewe una uhakika gani kama Nuhu hakuishi miaka 910?Hebu kwa uelewa wako tuambie aliishi miaka mingapi?
Hakuna mtu ambae anaweza kuvuka miaka zaidi ya 200 toka mwanzo ww unasema yupo tuambie na utupe ushahidi
 
Kati ya watu wa zamani na wa sasa wapi wameaishi maisha marefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…