Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #241
Hapo ningekuwa ni mimi na ndio mara ya kwanza ningeamsha vibaya mno 😂Walimuachia tu maana mimi sina chembe ya uoga na sisi tunafundishwa maneno ya kutamka kwaajili ya kujilinda kwenye mazingira yote, so walimuachia ila story nnazo nyingi sana na zimenitokea mwenyewe.