Nimeshuhudia mtu akiwanga, hili limenitisha

Mi naona umepost saa 4:25am. Mkuu inawezekana tukio lilikua saa 9 ila wenge lile ukashindwa kusoma hata muda 😂
Mbona inaonekana ni saa 11
Screenshot_20241226_131152.JPG
 
Damu yako ni nzito na hawawezi kuja kukudhuru (wachawi wanaogopa kufeli hivyo hawamdhuru mtu anaewazidi uwezo awe na dawa/kinga au asiwe nalo).
Kama ni hivyo wasithubutu kurudi maana nitawafanya kitu kibaya, ile hofu imeisha.
 
Hahahahahha nimecheka sana, mkuu Half american kwamba ulivyoangalia ukakutana macho kwa macho na mchawi, jiandae na usiku wa leo lazima aje kukutandika fimbo za mgongo umpe sababu tatu kwanini uliamka na kwenda dirishani na kwanini umekuja kutangaza, jiandae mkuu.
 
Usinitishe mkuu maana nishajaa kujiamini hata siogopi chochote tena ila nimejifunza kuchungulia chungulia nje usiku sio poa.

Nilikutana nae mara ya kwanza nikarudisha pazia moyo unaenda mbio balaa nikarudia tena kuhakikisha kama nachokiona ni kweli au wenge, bado nikakutana nae akitazama uelekeo nilipo na hapo nikarudishia pazia nikaanza kuomba.
 
Hahahahaha acha uoga mkuu hivyo ni vitu vya kawaida, niliwahi kufika pori fulani na mtoto wa brother usiku nashangaa dogo anapiga kelele ametoa macho kama anataka kufa, huku anavutwa miguu na mimi nikamkamata kifuani na mikononi tukawa tunavutana, halafu anaevuta haonekani.
 
Mwishowe ikawaje mkuu? Matukio kama haya ndio yanatukomaza.
 
Back
Top Bottom