Nimeshuhudia mtu akiwanga, hili limenitisha

Walimuachia tu maana mimi sina chembe ya uoga na sisi tunafundishwa maneno ya kutamka kwaajili ya kujilinda kwenye mazingira yote, so walimuachia ila story nnazo nyingi sana na zimenitokea mwenyewe.
Hapo ningekuwa ni mimi na ndio mara ya kwanza ningeamsha vibaya mno πŸ˜‚
 
Hapo ningekuwa ni mimi na ndio mara ya kwanza ningeamsha vibaya mno πŸ˜‚
Hahahaha wewe ni mwoga sana mkuu, umewahi kufika idomolangubi? hapo kuna pori la kufa mtu na mjerumani aliacha mambo yake kwenye mapango basi watu wananyooshwa sana hapo kuna mauza uza usipime.

Mimi nilifika kwenye shimo la mwanzo nataraji January inshaallah ntaelekea huko kwenyewe nikatembee japo wenyeji wanaogopa sana.
 
Sijawahi kufika, mjerumani nae si haba kwa hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…