Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #41
Church mbona mda ulishapita, tukio limetokea saa 10 alfajiri hii.Ungeenda church kwenye mkesha wa krismas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Church mbona mda ulishapita, tukio limetokea saa 10 alfajiri hii.Ungeenda church kwenye mkesha wa krismas
Inachukua miaka 20 kukutana nao?Sawa mkuu we endelea kuwatafuta kuna siku utakutana nao
Nitafanya hivyo mkuuJikite kwenye maombi tu
Mkuu,huyo mwanga lazima akueudie ili usimtangaze,maana haamini kama haujamtambua,ni sawa na jambazi,ukimtambua,lazima akumalize.kwanini anirejee kama sihusiki?
Hata zaidi mkuu labda kama umezindikwa.Inachukua miaka 20 kukutana nao?
Nifanye nini mbona mnanitishaMkuu,huyo mwanga lazima akueudie ili usimtangaze,maana haamini kama haujamtambua,ni sawa na jambazi,ukimtambua,lazima akumalize.
Atafika akitoka huko ramliniUmemuita mshana na Kwa Sasa yupo busy kwenye kilinge kupiga ramulia mbowe asitoboe uenyekitilicha ya kuwa Ile Saccos kaanzisha baba mkwe wake.
Acha ujinga, ungemtukana tu halafu ulale fofofo😅Herini ya sikukuu ya Noeli, kwangu naona ilishakuwa mbaya kwa mfululizo wa yanayoendelea na hili lililonifanya niandike hapa muda huu.
Kwanza nianze kwa kusema sina utulivu kabisa usingizi umekata na hauwezi kuja kwahiyo kama ntakosea kwenye kuandika mnivumilie.
Ipo hivi nilikuwa ndotoni ghafla nikashtuka muda ilikuwa saa 04:24 , nilivyoshtuka naona reflections za mwanga wa moto, nikajua labda n mwanga wa taa za gari lakini moyo ukasita kuliamini hilo kwa kuwa mwanga wa gari huwa ni mkali zaidi, nikiwa bado kitandani nashangaa zile reflections ghafla zikaanza kumove na kupotea, nikasogeza kapazia kidogo nione nje kinachoendelea. Nimeona moshi unafoka na nikapigia mstari majibu yangu kuwa ule ni moto.
Moyo ukapiga paa!! Nikazungusha macho upande wa pili wa dirisha nikaangalia kwa kunata bila kupepesa macho kama sekunde 40 na kushuhudia mtu kwa mbali kama kapigwa na butwaa akitazama uelekeo wangu kama vile ameniona (ni kama mita 10-15 kutoka nyumba ilipo) ila sikumtambua ni nani kutokana na giza. Baada ya kuona vile nikarudishia pazia nimefanya maombi na ninaamini nipo salama ila hili limenishtua kwa kiasi fulani.
Wakuu nifanye nini zaidi?
Kuna madhara yeyote kushuhudia hilo?
Mshana Jr muongozo wako ni muhimu mkuu nna taharuki kwa lililotokea.
kwa mshtuko ule uwezo wa kufanya zaidi ya maombi sikuwa nao.Acha ujinga, ungemtukana tu halafu ulale fofofo😅
Hesabu 23:23 isome hiyo line kwa sauti sana.Herini ya sikukuu ya Noeli, kwangu naona ilishakuwa mbaya kwa mfululizo wa yanayoendelea na hili lililonifanya niandike hapa muda huu.
Kwanza nianze kwa kusema sina utulivu kabisa usingizi umekata na hauwezi kuja kwahiyo kama ntakosea kwenye kuandika mnivumilie.
Ipo hivi nilikuwa ndotoni ghafla nikashtuka muda ilikuwa saa 04:24 , nilivyoshtuka naona reflections za mwanga wa moto, nikajua labda n mwanga wa taa za gari lakini moyo ukasita kuliamini hilo kwa kuwa mwanga wa gari huwa ni mkali zaidi, nikiwa bado kitandani nashangaa zile reflections ghafla zikaanza kumove na kupotea, nikasogeza kapazia kidogo nione nje kinachoendelea. Nimeona moshi unafoka na nikapigia mstari majibu yangu kuwa ule ni moto.
Moyo ukapiga paa!! Nikazungusha macho upande wa pili wa dirisha nikaangalia kwa kunata bila kupepesa macho kama sekunde 40 na kushuhudia mtu kwa mbali kama kapigwa na butwaa akitazama uelekeo wangu kama vile ameniona (ni kama mita 10-15 kutoka nyumba ilipo) ila sikumtambua ni nani kutokana na giza. Baada ya kuona vile nikarudishia pazia nimefanya maombi na ninaamini nipo salama ila hili limenishtua kwa kiasi fulani.
Wakuu nifanye nini zaidi?
Kuna madhara yeyote kushuhudia hilo?
Mshana Jr muongozo wako ni muhimu mkuu nna taharuki kwa lililotokea.
Hakika neno lako limenipa nguvu inayoniondolea hofu.Alieko ndani Yako ana nguvu kuliko wao..hvo usihofu kwa lolote kijana!!!
Tunateswa sana na imani potofukwa mshtuko ule uwezo wa kufanya zaidi ya maombi sikuwa nao.
Leo silali kama n hivyoSali sana kama niyeye usiku atarudi na wenziye kwa hiyo jiandae kwa lolote
Chief uchaw upo mimi nmeushuhudia zaidi ya mara moja na najikutaga tu nshasali kwa imani yanguWadanganye wajinga kwa hizo stori zako.
Hakuna uchawi. Ni fiksi tu.
Wenzenu NASA leo wamepeleka chombo chao kwenda kujivinjari anga za karibu na jua lilipo, nyie bado mnatishana na mambo ya mythology.
Hakuna mchawi yeyote yule dunia hii anayeweza kunifanya chochote.
Fcuk them.