BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Machawi yapo, ni kuyapuuza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kunirudia kwa sababu nimemuona ila sijamtambua ni nani.Haina shida kabisa hiyo na ni dalili kwamba nguvu zako kiroho zilikuwa kubwa kuliko zake.. Na kama angekuwa juu ya ungo angepiga bonge la mweleka
Vibaya ni kama ungewaona paka weusi tii wakifanya matusi.. Lakini pia nao siku hizi hawana madhara kivile kwakuwa nao wanakula kitimoto kiwe roast au hata kile cha kuchoma! Mbichi hawali
Hili ni la msingi sana.Machawi yapo, ni kuyapuuza tu.
Atalogwa hadi kijambio kikae kwenye paji la uso.Njoo sumbawanga uibe
Mimi siyo mwizi.Njoo sumbawanga uibe
Wizo nataka uniloge niwe na Papuchi.Jirani jana ulikuwa divai? 😹
Tena inawezekana ndio umemmalizaHawezi kunirudia kwa sababu nimemuona ila sijamtambua ni nani.
Mara nyingi anapogundua hatua ya kwanza ni kusogea ulipo,sasa sjui huwa wanataka wakujue vzur zaid,mimi nilkimbia na kwenda kulala na kusikilizia kitakachotokea lakin hakikutokea kituAlafu inakuaje sasa anapojua?
Haikuwa ndoto,Bado navuta kumbukumbu ni ndoto gani nilikuwa naota ikanikurupua usingizini hadi nikashuhudia hilo.
Hapo ulipoamini ndo sababu ya ulichokiona!!Binafsi siujui ila hayo mambo yapo mkuu hasa huku kwetu Afrika.
Bado navuta kumbukumbu ni ndoto gani nilikuwa naota ikanikurupua usingizini hadi nikashuhudia hilo.
Uliposema inatumika dozi amepata jibu tayari.Nilikula ila sikutumia kilevi chochote nilikuwa kwenye dozi.
Situmii chochote kati ya ulivyovitaja mkuu.
Hahaha, mkuu uchawi upo ngoja nikuthibitishie hapaCha kufanya hapo ni kutokuwa na wasiwasi wowote ule kwa sababu hayo mambo, kiuhalisia hayapo.
Watu huwa wanadanganywa na kudanganyana tu na kuishia kuogopa mambo yasiyo na uhalisia wowote ule.
Halafu hao wanga naona huwa wanajua kusoma saikolojia za watu.
Kwa nini waje kwako ilhali mtu kama mimi ambaye nawatukana kila kuku ha na kuwakebehi, wakati mwingine hadi naenda huko kwenye makao makuu yao, hawanijaribu?
Kuna ofa yao humu na nje ya humu pia, kwamba atayeweza kunithibitishia uchawi upo kwa kuniroga, kuna dau nono hapa lililokaa tu kwa takriban miaka 16/17 sasa, likimsubiri huyo mtu wa kuniroga afanye vitu vyake.
Well, 2025 imebaki wiki moja tu iwadie na mimi bado nipo nadunda tu utadhani I own the land.
Wacha uoga wa kijinga [kwa maana halisi ya neno ujinga]. Huyo fala akirudi tena mtandike mangumi mpaka aelewe kwamba wewe hutishwi kijinga namna hiyo.
Sema hapa umeushuhudia kwa namna gani?Chief uchaw upo mimi nmeushuhudia zaidi ya mara moja na najikutaga tu nshasali kwa imani yangu
Unakua unatamani hata ureact unashindwa unabaki kupiga fat-ha tu
Una hiyari hio lakini mimi nmeona kwa macho yangu ya nyama vitendo vya kichawiSema hapa umeushuhudia kwa namna gani?
Binafsi, sijawahi kushuhudia kinachoitwa “uchawi” toka nimezaliwa. Nyingi story tu ambazo ukichunguza unagundua hazina ushahidi wowote ule zaidi ya nilisikia au niliona hiki.