Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 483
- 1,100
Umeona nini, mkuu?Una hiyari hio lakini mimi nmeona kwa macho yangu ya nyama vitendo vya kichawi
Sema hapa ulichoona tufahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona nini, mkuu?Una hiyari hio lakini mimi nmeona kwa macho yangu ya nyama vitendo vya kichawi
KivipiUliposema inatumika dozi amepata jibu tayari.
Inaonekana una uzoefu naoKwa akili zangu nahisi ningebaki namcheka huyo mchawi
Hapana mkuuUlilewa jana?
Huenda athari za dawa zilikusababisha uone kisicho kuwepo kiuhalisia.Kivipi
Hapana jirani ni ya dunia tuJirani jana ulikuwa divai? 😹
Sidhani kama ni hivyo mkuuHuenda athari za dawa zilikusababisha uone kisicho kuwepo kiuhalisia.
Nisingeamini nisingeona?Hapo ulipoamini ndo sababu ya ulichokiona!!
nifanyaje mkuuHaikuwa ndoto,
Ni tukio halisi lilikuwa likifanyika katika Ulimwengu wa Roho,
Ndoto ni tukio halisi.
Kwa muda huo nilirudishia pazia alafu nikatulia tuli sikusikia chochote mpaka sasa labda warudi siku nyingine.Mara nyingi anapogundua hatua ya kwanza ni kusogea ulipo,sasa sjui huwa wanataka wakujue vzur zaid,mimi nilkimbia na kwenda kulala na kusikilizia kitakachotokea lakin hakikutokea kitu
Kivipi nimemmaliza, fafanua zaidi mkuu.Tena inawezekana ndio umemmaliza
Sio mchawi pekee mkuu,Sjui huwa ni kwann,mchawi unapomchungulia anajua pale pale kwamba kuna mtu kamuona
Mchawi ukimuogopa umempa ruhusa ya kufanikiwa jambo lake,Nifanye nini mbona mnanitisha
Nimesoma vizuri andiko lako lakini limeniacha na maswali....unasema uliogopa sanaHerini ya sikukuu ya Noeli, kwangu naona ilishakuwa mbaya kwa mfululizo wa yanayoendelea na hili lililonifanya niandike hapa muda huu.
Kwanza nianze kwa kusema sina utulivu kabisa usingizi umekata na hauwezi kuja kwahiyo kama ntakosea kwenye kuandika mnivumilie.
Ipo hivi nilikuwa ndotoni ghafla nikashtuka muda ilikuwa saa 04:24 , nilivyoshtuka naona reflections za mwanga wa moto, nikajua labda ni mwanga wa taa za gari lakini moyo ukasita kuliamini hilo kwa kuwa mwanga wa gari huwa ni mkali zaidi,
Nikiwa bado kitandani nashangaa zile reflections ghafla zikaanza kumove na kupotea, nikasogeza kapazia kidogo nione nje kinachoendelea. Nimeona moshi unafoka na nikapigia mstari majibu yangu kuwa ule ni moto.
Moyo ukapiga paa!! Nikazungusha macho upande wa pili wa dirisha nikaangalia kwa kunata bila kupepesa macho kama sekunde 40 na kushuhudia mtu kwa mbali kama kapigwa na butwaa akitazama uelekeo wangu kama vile ameniona (ni kama mita 10-15 kutoka nyumba ilipo) ila sikumtambua ni nani kutokana na giza.
Baada ya kuona vile nikarudishia pazia nimefanya maombi na ninaamini nipo salama ila hili limenishtua kwa kiasi fulani.
Wakuu nifanye nini zaidi?
Kuna madhara yeyote kushuhudia hilo?
Mshana Jr muongozo wako ni muhimu mkuu nna taharuki kwa lililotokea.
1. Vyote kwa pamojaNimesoma vizuri andiko lako lakini limeniacha na maswali....unasema uliogopa sana
1: Kilichokufanya uogope ni nini ni moto au ni mtu uliyemuona?
2: Kulipokucha ulikwenda kuangalia hiyo sehemu kulipokua na huo moto?
3: Unasema uliuona kama mita 10-15 je hilo eneo unaishi peke yako hakuna nyumba nyingine jirani?
Nimesoma vizuri andiko lako lakini limeniacha na maswali....unasema uliogopa sana
1: Kilichokufanya uogope ni nini ni moto au ni mtu uliyemuona?
2: Kulipokucha ulikwenda kuangalia hiyo sehemu kulipokua na huo moto?
3: Unasema uliuona kama mita 10-15 je hilo eneo unaishi peke yako hakuna nyumba nyingine jirani?
4: umesema mtu alikua akiwanga,,kwahiyo tuamini mtu akiwasha moto usiku hicho ni kitendo cha kuwanga?
Siogopi tena mkuu nipo tayari kwa lolote.Mchawi ukimuogopa umempa ruhusa ya kufanikiwa jambo lake,
Hofu ni kama mlango wa roho zote chafu, Ukiishinda hofu umeshinda roho zote chafu ( Wachawi ni viumbe dhaifu sana, wanachowaweza watu wanakuja kwa njia za vitisho ili wakulainishe upate hofu wakamilishe mission zao bila tabu )
WapiHao ndio wanaume wa huku kwetu.
Asante naona umeongeza maelezo mengine ya ziada ambayo hayakuwepo kwenye andiko la mwanzo:1. Vyote kwa pamoja
2. Haukuwashwa chini uliwashwa ndani ya chombo kinachobebeka ila nmeshaangalia mazingira yote kuzunguka nyumba.
3.nyumba za majirani zipo kuanzia mita 80+
4. Kwa muda ule kuwasha moto na kuzunguka nao ni uwangaji na mavazi meusi aliyokuwa ameyavalia ni dhahiri kuwa ni uwangaji.