Heroine Pakistan ni Dola ngapi?We hayo mambo watu wanayajua kabla hujaja mjini toka uporoto acha upoyoyo
Noma sana?Heroine Pakistan ni Dola ngapi?
Cocaine Brazil na Peru ni Dola ngp?
Na kwann marekani na brazili heroine ni Ghali kuliko cocaine?
Na kwann hapa tanzania heroine Ni rahisi kuliko cocaine.
Nijibu kwnza,,
Isije ikawa nabishana na dalali wa vyumba.
Kaa utulie we bwege mbishi sana.Heroine Pakistan ni Dola ngapi?
Cocaine Brazil na Peru ni Dola ngp?
Na kwann marekani na brazili heroine ni Ghali kuliko cocaine?
Na kwann hapa tanzania heroine Ni rahisi kuliko cocaine.
Nijibu kwnza,,
Isije ikawa nabishana na dalali wa vyumba.
Kabisa mkuu..Noma sana?
Mimi mjini nimezaliwa sikuletwa mjini na shemeji kama wewe.We hayo mambo watu wanayajua kabla hujaja mjini toka uporoto acha upoyoyo
We km unajiita mwandende kikwetu ni mavi , so kaa na uwandende wako.Mimi mjini nimezaliwa sikuletwa mjini na shemeji kama wewe.
Ushukuru Dada yako alivyompagawisha shemeji yako kwa utelezi akashawishika kukuleta mjini.
Bila Dada yko kuumizwa sehem zake za Siri ungekuwa KILANJE LANJE hadi sasa.
Wengi huingia kwenye heroin either kwa kupenda au kutokujuwa.Duuuh, sasa kwanini wanatumia heroine na sio cocaine ilhali wanajua side effects za heroine, au tatizo ni bei ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu,,Cocain zipo sema haiwezi ikawa pure
100% maana inakuwa inapiganishwa(kuchanganywa)
Ila cocain(pele)ipo
Ova
OkayBiochemistry yake. Euphiria yake. Potential ya addiction ni kubwa sana.
Basi nafaidi Sana kama mimi ni mavi,We km unajiita mwandende kikwetu ni mavi , so kaa na uwandende wako.
Kwamba curiosity killed the cat.Wengi waliingia kwa style kama hiyo ,,
Najaribu Leo,
Kesho tena.
Nakuhusia ndugu yangu sumu haionjwi,,
Usijaribu kutumia madawa ya kulevya.
Tupe madini mkuuMkuu hivi unajuwa kama heroine Ni bei mbaya sana marekani na brazili kuliko COCAINE?
Marekani ukivuta heroine Ni pesa ndefu kuliko cocaine unajuwa kwann?
Msibishane vitu huvijuwi,,na hujuwi unabishana na nani pengine ndy mwenyewe PABLO ESCOBAR..
miaka ya 2005 kurudi 1990 --80 unga heroine ulikuwa Ni bei mbaya sn tanzania unajuwa kwann?
Mkinijibu hayo nitaelewa nabishana na akina Nani.
Mfano Kuna style moja ya uvutaji inaitwa cocktail.Kwamba curiosity killed the cat.
Kwa jinsi nnavyowaona mateja walivyo ..adawa hapana kiukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu wajuwaji lakini kumbe hawajuwi chochote.
Huo mziki hawawezi ni maponjoro wanaweza.Vijana 12 wanaochangishana kununua hennessy hawawezi mudu gharama za Cocaine. Dola elfu 2 - 4 wanazolipwa kwa kusafirisha ngada hazitoshi kufanya showoff mjini na kubwia cocaine
Kwa kweli, ndio maana wanao uza haya ma drugs wanapesa vibaya.. yaani kilo 1 ya heroin ni mil 18...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Tutafute koneksheni tuKijana kama hujuwi kaa kimya?
Cocaine haitoki Pakistan.
Cocaine inatoka PERU,COLOMBIA,CHILE,BRAZIL, ARGENTINA.
Heroine ndy inatoka Afghanistan na Pakistan..
Kama Jambo hujuwi kaa kimya.
heroine gram ni 18000 tu..
Ndy maana sometimes tunakuwa kimya kukwepa watu kama nyie.
π π π π TZ kuna Cocaine ya 50K mkuuHuo mziki hawawezi ni maponjoro wanaweza.
Mzigo hapo unasukwa watu wanakula ,ndo hao Europe.
Huyu mpumbavu anasema Brazil unapeleka nini?
Tuliofika huko wanavuta mpk petroli acha hata heroin, Pakistan, India kote huko ni heroin au petrol ya 500.
Cocaine huko hugusi.
Analeta upuuzi hapa
Kabisa kuna watu wanadhani unga ni unga tu, anapewa coke mara ya kwanza na washua, anataka kupata tena ile steam, anakutana na heroin. Kazi inaanza.Wengi huingia kwenye heroin either kwa kupenda au kutokujuwa.
Especially wavutaji sigara na bangi wapo kwnye hatari kubwa sn ya kuingia kwny matumizi ya heroine..
Cocaine wanaouza so watu wengi...
Na Kuna kipindi uoatukanaji wake ni mgumu