Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Wewe huna unalojuwa kaa kimya,,Hamna Cocain hapo hayo mashisha wanagonga yanajazwa brown sugar takataka
Na ndiyo hiyo unaona mateja huko mitaani.
Cocaine ni parefu hugusi km hujashiba mkwanja.
Hayo makapi ya heroin ndo unaona wanavutavuta yakichanganywwa kwenye sheesha.
Cocaine inabidi uwe na hela ndefu isiyoisha.
Sio hela za kupanda bajaj
Dogo acha makasiriko ya kisenge,, unaleta uzi nusunusu galafu unang'akang'aka na kulialia kama shabiki wa asenooSipo kwa ajili ya kumripoti mtu, elewa, ninatoa na kushare observation ya kitu ambacho nimekiona na sio kawaida kwetu Tanzania.
Soma kwa kutuliaKubwia cocaine ni show off kumbe? Naendelea kujifunza.
kusafirisha ngada hazitoshi kufanya showoff mjini na kubwia cocaine
Hapana sifahamu, nataka kudanganya tu mkuuUnajuwa gram moja ya COCAINE Ni sh ngp za kitanzania bei yake?
Au unataka kudanganya watu hapa jukwani
Kama inakukera ulipaswa kuchukua hatua kwa kuripoti kwenye vyombo husika. Otherwise na wewe ni mshiriki wa uvutaji cocaineHivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane
is Crack cocaine
Basi elewa gram 1 pure cocaine ni sh 50,000 za tanzania,,Hapana sifahamu, nataka kudanganya tu mkuu
π π π π sawa mwandende mchana wa leo na mimi nitavutaBasi elewa gram 1 pure cocaine ni sh 50,000 za tanzania,,
Kama unataka kujuwa..
Na mvutaji havuti gram moja ,,atavuta kete moja labda ya sh 5000 ,,
Sasa huo ugharama wa hali ya juu upo wp?
Sawa mkuu..
Umejiandaaje?....how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
50000/5000=10. Kwa hiyo, 1 kg inaua ubongo wa wavulana na wasichana wetu Karibu elfu 10,000. Na thamani ya ubongo wa vijana wetu hawa wote ni sawa na 50,000 x 1,000= 50,000,000/=.Basi elewa gram 1 pure cocaine ni sh 50,000 za tanzania,,
Kama unataka kujuwa..
Na mvutaji havuti gram moja ,,atavuta kete moja labda ya sh 5000 ,,
Sasa huo ugharama wa hali ya juu upo wp?
Achana na muvi unga wowote mweupe mweupe ili majibu yaje kuonyesha ni madawa ya aina gani hua mpaka yapelekwe maabara. Unless kama kuna detailed info kuihusu hiyo kazi.Nikikutajia club utaleta info gani, zaidi ya kuchafua biashara za watu? Nafahamu ni cocaine baada ya kuwaona reaction zao, uchangamfu etc...
Wakachukue rushwa sema.Huko uliko ona mbona unakuficha?
Unaogopa nini?
Kama Ni hapa Kimara, taja jina la bar vijana wa kova wawashe Moto.
Kwa hiyo hawa mateja wengi wanatumia madawa gani?Cocaine inachukua muda mrefu sana kuleta uteja. Ni kazi ya miaka. Ni ngumu kumjua mtumiaji pia.