Wewe unalojua ni ule 'ulevi' tu wa siku zote. Haya mambo mengine huna hili wala lile. Ninapo kuambia wewe ni mwongo ujue hayo unayotaka nikayatazame nilisha yatazama siku nyingi sana.Kafanye homework yako vizuri uone ka hayo makampuni hayapo listed kwenye "stock markets" za nchi za Magharibi.
Hayo makampuni ni ya Korea Kusini toka mwanzo hadi mwisho. In fact, nasi tungekuwa na uongozi wenye maono kidogo tunge fuata 'model' hiyo waliyopitia Korea Kusini, pamoja na kwamba kulikuwa na matatizo mengi wakati yanaanzishwa, na kusahau kuweka juhudi kwenye vikampuni vid vidogo.
Wewe ukienda kuwekeza kwenye 'stke market ' ya Nairobi unakuwa mali ya Kenya?