Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Mzee awamu kikubwa angalia watoto zako wanakula basi. Afu hayo maduka ya kubadili fedha ilikuwa ni machaka ya watu kubadili pesa zao chafu
 
Mimi nina mawazo sawasawa na yako. Umekariri clip ya Nape akienda Ikulu kuomba msamaha. Ina maana kuomba msamaha huko kulikuwa hakutoki moyoni bali ilikuwa kujisafishia njia tu baada ya kuona hali ya maisha imekuwa ngumu. Mama inabidi ajiulize kama anayemsifia hivi sasa hatabadilika pindi Mama akitoka madarakani.
 
Magomeni ilikamilika s asilimia 80 wakati wa jpm usitudanganye
 
Umeanza kukubali taratibu pigo za mama 🔥🔥

Bila magufuli kuamua kutanuwa bandali zetu Tanga na mtwara .tungekuwa na bandari mfilisi ya bagamoyo na alikaataa na kusema tuta tanuwa bandari zetu sisi wenyewe ya Tanga, darna mtwara
 
Asingekuwa raid magufuli leo tusingejuwa sgr maana sidhani kama wafanyabiashara wakubwa wa malori wangekubali maana ndio walikuwa waamuzi.ata bwawa LA Nyerere lisingekuwepo maana wakina mwezi wa kwanza wasingeliweka, R.IP MWAMBA
 
Ivi umemsoma vizuri Sylllogist au unakulupuka .kweli Tanzania tunasafali ndefu
Umesomeka.
 
Hujui kitu wewe, wapo watu malalamiko yao yapo mezani kwa Mama Samia na anayefanyia kazi maana wapo waliotekwa na kufukuzwa kazi wapo TISS.
 
Asingekuwa raid magufuli leo tusingejuwa sgr maana sidhani kama wafanyabiashara wakubwa wa malori wangekubali maana ndio walikuwa waamuzi.ata bwawa LA Nyerere lisingekuwepo maana wakina mwezi wa kwanza wasingeliweka, R.IP MWAMBA

SGR ni mradi alikuta umeshasainiwa chini ya utawala wa Kikwete. Jitahidi usiwe mpotoshaji. Bwawa la Mwalimu Nyerere halikuwa na sababu kwani tayari bomba la gas lilishafika hapa Dar. Kuliko kuweka 7t kwenye hilo bwawa ili kupata 2,115m, ni bora ingewekezwa 3t hapa kwenye mradi wa gas tungepata umeme mwingi kuliko huo, na hela nyingine ingetumika hata kuinua kilimo ama ujenzi wa viwanda.
 
Bila magufuli kuamua kutanuwa bandali zetu Tanga na mtwara .tungekuwa na bandari mfilisi ya bagamoyo na alikaataa na kusema tuta tanuwa bandari zetu sisi wenyewe ya Tanga, darna mtwara
Kabla ya kutawanya hivyo pesa saizi tungekuwa tunakalibia kumaliza Bandari kubwa ya Afrika hivyo huto tubandari twingine tungesubiria.
 
Kabla ya kutawanya hivyo pesa saizi tungekuwa tunakalibia kumaliza Bandari kubwa ya Afrika hivyo huto tubandari twingine tungesubiria.
Bandari ya afrika wizi wa watanzania kidaaadeki chuma kikatustuwa mmeshindwa kutuibia Sasa tutasubili kwenye umeme wa Nyerere teyari mmeshaweka mikono au mama kawastukia,tutajuwa likianza tawanya umeme
 
Wizi gani? Bagamoyo port itajengwa kama LPG ya Lindi na tutazima porojo zenu za kijinga hizo.
 
Acha upumbavu by mkapa ,umeshaoni garama za unit zimepungua na iyo he's au ujuwi kunaumeme wa heyo tunatumia ,unajuwa zumunu la bwawa LA Nyerere ww
 
Subirini siku 'mkikua' ndiyo mtajua namna nchi hii ilivyonurika kimaajabu ajabu
 
Kuhusu Magufuli najua kitu kimoja tu.
Alikuwa Shetani anayeishi ndani ya mwili wa mwanadamu.
 
Kuna matajiri wapya wanatengenezwa. Baada ya mwinyi SASA ni Samia kutengeneza mabilionea wezi wa Mali Za umma.

Matajiri wengi unaowsona SASA walitengenezwa na mwinyi. Na hawatataka kumwacha maza Maana Ni pazia tu.
Kutengeneza matajiri wengi ni sifa kwa kiongozi wa nchi and not otherwise km unavyofikiria! Nchi ikiwa na matajiri wengi maana yake ajira ni nyingi pia maana hao ndio waajiri.
 
Acha upumbavu by mkapa ,umeshaoni garama za unit zimepungua na iyo he's au ujuwi kunaumeme wa heyo tunatumia ,unajuwa zumunu la bwawa LA Nyerere ww

Jifunze kuandika kwa usahihi kwanza kisha uje tuendelee. Mambo ya kuandika kilugha sio poa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…