Nimesikitika sana Elon Musk kuongoza tena kwa utajiri duniani

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua.

Anajiona yeye ni mungumtu.

Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba moja duniani nimelia sana. Kwa nini freemason wamemrudisha? Nilikuwa naomba azidi kushuka tu zaidi na zaidi alingane na kina vunja bei huko.

Afrika kusini nchi iliyomleta duniani na kumlea hana hata fadhila nayo. Sasa hivi south Africa hamna umeme mortuary zinanuka balaa kwasababu friji zimezima. Lakini jamaa angalau achangie tu hata dollar billion 10 kusaidia taifa lililomtoa. Amebaki kupambana na wafanyakaz wa twitter na kuchezeachezea hela.

Enzi za kina Bill gates, warren buffet, Carlos slim tulikuwa na amani sana duniani. Hawa walikuwa freemason wastaarabu.

Sijui Freemason wakawaje hadi kutuletea huyu mbwiga Musk?
 
Achangie mafisadi ya ANC?
 
Mzee, unampangia mtu matumizi ya pesa zake?

Mathayo 20:15
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo?
 
Pesa humfata yule aitafutaye.
Amani humfuata yule aitafutaye.
Furaha humfuata yule aitafutaye.

Atafutaye Pesa huleta raha, ukipata raha utahitaji raha zaidi,raha ina mwisho wake kwahyo utafika point utaikosa, ukikosa raha zaidi utapata huzuni, huzuni huleta majonzi na majonzi huleta kujilaumu na ndio chanzo cha vita.

Kinyume chake Upendo huleta karaha, ukipata karaha utauona uzuri wake, utahitaji tena, ukiipata utahitaji zaidi na Karaha hazina mwisho, kwahyo utazipata na zitakuletea furaha. Kwenye furaha kuna amani.

Tafuteni upendo, kwakuwa kule ambako wengi huona hakuna faida ndio mali zilipofichwa.
 
Mzuka wanajamvi!

Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua.

Anajiona yeye ni mungumtu.

Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba moja duniani nimelia sana. Kwa nini freemason wamemrudisha? Nilikuwa naomba azidi kushuka tu zaidi na zaidi alingane na kina vunja bei huko.

Afrika kusini nchi iliyomleta duniani na kumlea hana hata fadhila nayo. Sasa hivi south Africa hamna umeme mortuary zinanuka balaa kwasababu friji zimezima. Lakini jamaa angalau achangie tu hata dollar billion 10 kusaidia taifa lililomtoa. Amebaki kupambana na wafanyakaz wa twitter na kuchezeachezea hela.

Enzi za kina Bill gates, warren buffet, Carlos slim tulikuwa na amani sana duniani. Hawa walikuwa freemason wastaarabu.

Sijui Freemason wakawaje hadi kutuletea huyu mbwiga Musk?
Maghayo! Yaani kiwango cha wivu ni zaidi ya shetani!
 
Jiongeze umpite tu.
 
Back
Top Bottom