Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli?
Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!?
Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi?
Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!!


View: https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20

20260307_160040.jpg
 
4 inches ngoma ikiwa ipo dede!!!
Huyu jamaa amejua kututukana Watanganyika!
Utafiti ulifanyika sema ni iringa pekee

Kuna watu 253 walijitolea kutahiriwa so wakawa wanawapima hivyo vibamia, so data ni za Iringa na sio Tanzania yote.

Pia data za juu sio za kuamini, toka lini size ikategemea Berlin conference? Makabila mengi ya Tanzania, Kenya, Congo etc yanaingiliana tunaitwa Congo ama Tanzania ama Kenya sababu ya Berlin conference na sio kwamba watu wake ni Tofauti.
 
Back
Top Bottom