MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
Fedha ni za Umma ila kinachotokea ni Wizi wa kualalisha kusema sio za Umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msimamo wa Kafulila umekuwa kwamba ndani ya akaunti ya ESCROW kuna fedha ya TANESCO (umma). !
Hujui kweli au unafanya kusudi kwa maslahi yako binafsi? akili yangu haitaki kuamini kwa kiwango cha ujuvi wako Ujiaminishe eti Escrow sio pesa za Umma....Sasa naanza kuamini kweli na wewe ni miongoni mwao wale waitwao wachumia tumbo...

Pasco ni mtu mbaya sana.
Wewe CHIEF MP,
Kwa sababu kulikuwa na mgogoro na wajanja walitaka wagawane
Pasco,
Tanesco ni shirika la umma linaloendeshwa na serikali kwa asilimia Mia moja. Tanesco ni kampuni inayoendeshwa kwa ruzuku ya serikali kwa kiwango kikubwa kuliko shirika lingine lolote la umma; tanesco Kama shirika haliendeshwi kwa faida Bali hasara, kwa sababu limekuwa ni Chaka la majizi Kukomba fedha za wananchi. Ruzuku ya serikali inatokana na kodi za wananchi, inakuwaje hoja ijengwe Kwamba zile sio fedha za umma?
Mbunge Laiser Leo Katika uchangiaji wake amehoji: ni Tajiri gani duniani amewahi kugawa hela binafsi Kama hizi? Ni fedha za umma tu Ndio majitu Kama rugamalira na mafisadi Ndio Hawana uchungu nazo.
Msipotoshe Watu.
Why? Kwa sababu ana mawazo tofauti na wengine? No. Tukubali kutofautiana bila kupeana majina. Hili ni jambo zito sio sawa na 2+2=4. Kitu pekee tunachokubaliana ni kwamba tuna viongozi wezi na kwenye hili la Escrow ni kwamba wamefumwa. Kwa mujibu wa Kafulila "tuna viongozi wapigaji"!
Pasco Tumeishakuzoea....hivi ile Bonifaidi giniuni ya Lwakatare bado msimamo wako ule ule?
Wanaomshangaa Pasco mimi inabidi niwashangae wao, ni afadhali kumshangaa Mzee Mwanakijiji angalau ameshiriki harakati nyingi kabla na yeye hajanunuliwa.
Why? Kwa sababu ana mawazo tofauti na wengine? No. Tukubali kutofautiana bila kupeana majina. Hili ni jambo zito sio sawa na 2+2=4. Kitu pekee tunachokubaliana ni kwamba tuna viongozi wezi na kwenye hili la Escrow ni kwamba wamefumwa. Kwa mujibu wa Kafulila "tuna viongozi wapigaji"!
Kwa kweli inasikitisha sana kuona kuwa Watanzania wa leo wanashindwa kupambanua pumba na nafaka. Nani amesema matajiri hawagawi pesa? Kuna matajiri wangapi wamerithisha pesa zao kwa mbwa?
Watanzania inabidi tujitahidi kupambanua mambo hata kama ni machungu . Tusipoweza hilo kila siku tutakuwa watu wa kushindwa. Kamati ya PAC imeshindwa kuueleza umma ukweli ulivyo kuhusu Escrow Account. Mbaya zaidi suala zima limejikita kisiasa kuufanya wananchi wawachukie watu fulani bila sababu yeyote.