Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

Ebu kuna jambo inabidi uelewe mkuu; pesa zilipokuwa account ya escrow zilikuwa bado za umma; lakini zilipiidhinishwa zilipwe IPTL; hapo zikawa c za umma tena. Na IPTL ana Uhuru wa kuzitumia anavyoona inafaa; serikali haipo tena.
 
Pasco be realistic brother, huwezi tu kusema umehuzunishwa na ripoti ya PAC, je Chenge, Tibaijuka na wengineo wamelipa kodi ya mgao huo wapi? kwa uelewa wangu kidogo lazima wangelipa kodi ya mapato kutokana na hilo dili haramu, sasa wewe umefedheheshwa na kitu gani.
 
Hujui kweli au unafanya kusudi kwa maslahi yako binafsi? akili yangu haitaki kuamini kwa kiwango cha ujuvi wako Ujiaminishe eti Escrow sio pesa za Umma....Sasa naanza kuamini kweli na wewe ni miongoni mwao wale waitwao wachumia tumbo...

Ripoti ya CAG imetamka wazi pesa zote
kwenye accpunt ya escrow bil. 306 zinatakiwa
zirufi Tanesco na Tanesco iendelee kuidai
IPTL
 
Hujui kweli au unafanya kusudi kwa maslahi yako binafsi? akili yangu haitaki kuamini kwa kiwango cha ujuvi wako Ujiaminishe eti Escrow sio pesa za Umma....Sasa naanza kuamini kweli na wewe ni miongoni mwao wale waitwao wachumia tumbo...

Ripoti ya CAG imetamka wazi pesa zote
kwenye account ya escrow bil. 306 zinatakiwa
zirufi Tanesco na Tanesco iendelee kuidai
IPTL bil. 15 nini kigumu hapo au watu wamelewa tu huyo Pasco atakuwa kala mgao
 
Pasco ni mtu mbaya sana.

Why? Kwa sababu ana mawazo tofauti na wengine? No. Tukubali kutofautiana bila kupeana majina. Hili ni jambo zito sio sawa na 2+2=4. Kitu pekee tunachokubaliana ni kwamba tuna viongozi wezi na kwenye hili la Escrow ni kwamba wamefumwa. Kwa mujibu wa Kafulila "tuna viongozi wapigaji"!
 
julius kaisari acha kumchezea ama kumtumia Yesu kujustify unachokitaka!
Tuambie kwenye kitabu gani cha biblia, sura gani na mstari wa ngapi haya uliyoyanukuu hapa kat ya Yesu na Pilato walipata kuulizana?????? Swali hilo kama Yesu angeulizwa angeshindwa kumjibu mtoto mdogo sana huyo Pilato kwa Yesu
Wewe CHIEF MP,
Mimi pia ni "mtu mzima", and devoted Christian. Kasome The Gospel Of John 18:37-38!
Hata ukiachilia huko,Logically, Ukweli ni nini? nijibu vyovyote utakavyo,ahalafu ntarudi kukupa Darsa!
Tugile Umwami!
 
Last edited by a moderator:
Pasco,

Tanesco ni shirika la umma linaloendeshwa na serikali kwa asilimia Mia moja. Tanesco ni kampuni inayoendeshwa kwa ruzuku ya serikali kwa kiwango kikubwa kuliko shirika lingine lolote la umma; tanesco Kama shirika haliendeshwi kwa faida Bali hasara, kwa sababu limekuwa ni Chaka la majizi Kukomba fedha za wananchi. Ruzuku ya serikali inatokana na kodi za wananchi, inakuwaje hoja ijengwe Kwamba zile sio fedha za umma?
Mbunge Laiser Leo Katika uchangiaji wake amehoji: ni Tajiri gani duniani amewahi kugawa hela binafsi Kama hizi? Ni fedha za umma tu Ndio majitu Kama rugamalira na mafisadi Ndio Hawana uchungu nazo.

Msipotoshe Watu.
 
Kwa kweli inasikitisha sana kuona kuwa Watanzania wa leo wanashindwa kupambanua pumba na nafaka. Nani amesema matajiri hawagawi pesa? Kuna matajiri wangapi wamerithisha pesa zao kwa mbwa?

Watanzania inabidi tujitahidi kupambanua mambo hata kama ni machungu . Tusipoweza hilo kila siku tutakuwa watu wa kushindwa. Kamati ya PAC imeshindwa kuueleza umma ukweli ulivyo kuhusu Escrow Account. Mbaya zaidi suala zima limejikita kisiasa kuufanya wananchi wawachukie watu fulani bila sababu yeyote.
 
Last edited by a moderator:
Why? Kwa sababu ana mawazo tofauti na wengine? No. Tukubali kutofautiana bila kupeana majina. Hili ni jambo zito sio sawa na 2+2=4. Kitu pekee tunachokubaliana ni kwamba tuna viongozi wezi na kwenye hili la Escrow ni kwamba wamefumwa. Kwa mujibu wa Kafulila "tuna viongozi wapigaji"!

Mkuu,unaupimaje upepo wa W.MKUU ktk sakata hili??
 
KVM huna mada wala hoja nzuri kabisa hakuna kuteteana kichama hapa watu wanakomba pesa wwe unatetea kabisaaaa!!?
 
Why? Kwa sababu ana mawazo tofauti na wengine? No. Tukubali kutofautiana bila kupeana majina. Hili ni jambo zito sio sawa na 2+2=4. Kitu pekee tunachokubaliana ni kwamba tuna viongozi wezi na kwenye hili la Escrow ni kwamba wamefumwa. Kwa mujibu wa Kafulila "tuna viongozi wapigaji"!

Huu usaliti wa Pasco na Mwanakijiji ni mbaya mno ndugu yangu.
 
Mtoa mada muombe Mungu akupe kichwa chenye akili...una li'NAZI' tu hapo juu.
 
Mkuu Pasco, binafsi nakuelewa... umefanya jitihada kutufumbua macho ili kiwaziwzi mnoo, ajabu wengi hatuoni, maelezo yako yanajieleza bayana, kiwango cha uandishi kimetatiza watu kwa kuzoea maelezo mepesi, tunapigwa kila mara kwa ujinga wetu watanzania, tuamke basiiii
Hebu sasa tupeane mbinu za kungoa huu mti, kila mara tunapurura majani haijawahi kutusaidia, tunaambiwa Simba mdau wa PAP atakuwa anapiga 200millions daily kwa 20yrz kama50% ya shares bado mbia mwenzie hivohivo, hebu wananchi tutaifishe IPTL iliyoporwa na PAP, then kwa gharama yeyote tungoe mti tuache kukata majani , haitatusaidia kukata majani. Tusitegemee bunge pekee, tuna direct responsibility kwa mustakabali wa taifa letu watanzania. AMKA TANZANIA!
 
Kwa kweli inasikitisha sana kuona kuwa Watanzania wa leo wanashindwa kupambanua pumba na nafaka. Nani amesema matajiri hawagawi pesa? Kuna matajiri wangapi wamerithisha pesa zao kwa mbwa?

Watanzania inabidi tujitahidi kupambanua mambo hata kama ni machungu . Tusipoweza hilo kila siku tutakuwa watu wa kushindwa. Kamati ya PAC imeshindwa kuueleza umma ukweli ulivyo kuhusu Escrow Account. Mbaya zaidi suala zima limejikita kisiasa kuufanya wananchi wawachukie watu fulani bila sababu yeyote.

Kwanini unajadili hoja nusu nusu, tueleze kwanini unadhani fedha hizi sio za umma.
 
Back
Top Bottom