Pasco, unaomba tuelewashane wakati tayari umeshatoa hitimisho!! Tangu mwanzo hata kabla ya PAC kuwasilisha kamati msimamo wa Kafulila umekuwa kwamba ndani ya akaunti ya ESCROW kuna fedha ya TANESCO (umma). Hakuna aliyewahi kusema kwamba pesa yote ni ya umma. Kumbuka kwamba hela yote imetokana na shauri mahakamani. Badala ya kuilipa IPTL pesa ilikuwa inakwenda kwenye hii akaunti hadi shauri lingeamuliwa ili kujua kiasi halisi ambacho IPTL walistahili. Mahakama ikaamua kwamba ni kweli kwamba TANESCO walikuwa wanalipa pesa nyingi zaidi kuliko uhalisia. Sisi tukapewa nafasi ya kukokotoa mahesabu ili tuchukue cha kwetu na kinachobaki kiende IPTL. Tumeshindwa au tusema tumekaa kufanya hivyo kwa sababu hiyo pesa tulishaipiga, haipo. Ndio hizo akina Ruge wamezigawa kama njugu. Sasa utasemaje kwamba hakuna pesa yetu pale?
Hata kitendo tu cha akina Ruge kugawa hela ovyo kinakwambia kwamba ile haikuwa pesa yao. Katika hali ya kawaida kama ile ingekuwa pesa yao walioipata kihalali ingewezekanaje waigawe ovyo namna hiyo? Matarajiri wa Tanzania ni Rostam, Bakhresa na Mengi, mbona hatujasikia wakigawana fedha bararani namni ile? Na kwa nini waliogawiwa wote ni wanasiasa, viongozi na watu wenye mamlaka fulani? Kwa nini Ruge hakwenda kugawa hizi fedha kwa wanafunzi wetu waliokosa mikopo kama kweli ana roho nzuri kiasi hicho?
Haya, wewe unaona ni sawa watu kugawana pesa kama maembe kama walivyofanya? Nchi za wenzetu hata kuingia na dola 10,0000 wanakuzuia lazima utoe maelezo ya kutosha na vielelezo kibao. Hapa kwetu watu wanagawana pesa kwenye rambo wewe unaona ni sawa hiyo? Pasco please!!
Mkuu Tety, asante kwa hoja zako zamsingi sana!.
Kisheria kama makubaliano ya mwanzo yalikuwa mtambo wa aina fulani, wakatapeliwa kwa kuletewa mwingine, hapo ndipo mkataba ungepaswa kuvunjwa!.
- VAT ambayo hajalipwa, inalipika!.
- Kwa mujibu wa mkataba wa Richmond, jukumu lakulipa kodi zote za serikali ni jukumu la Tanesco, walipaswa wafanye tax remitance kabla ya kudeposit fedha kwenye escrow!.
- Walikaa IPTL ikashusha viwango Tanesco bado wakagoma, hivyo kwa status quo ya wakati wa malipo yale yanafanyika Tanesco ilikuwa inadaiwa fedha nyingi kuliko hata zilizomo ndani ya escrow!.
- Mkataba wa mwanzo ulikuwa ni wa miaka 15!, baadae ukageuzwa 20!, baada ya miaka 10 ukaongezwa 20 tena!.
Pasco
Mkuu Tety, asante kwa hoja zako zamsingi sana!.
Kisheria kama makubaliano ya mwanzo yalikuwa mtambo wa aina fulani, wakatapeliwa kwa kuletewa mwingine, hapo ndipo mkataba ungepaswa kuvunjwa!.
- VAT ambayo hajalipwa, inalipika!.
- Kwa mujibu wa mkataba wa Richmond, jukumu lakulipa kodi zote za serikali ni jukumu la Tanesco, walipaswa wafanye tax remitance kabla ya kudeposit fedha kwenye escrow!.
- Walikaa IPTL ikashusha viwango Tanesco bado wakagoma, hivyo kwa status quo ya wakati wa malipo yale yanafanyika Tanesco ilikuwa inadaiwa fedha nyingi kuliko hata zilizomo ndani ya escrow!.
- Mkataba wa mwanzo ulikuwa ni wa miaka 15!, baadae ukageuzwa 20!, baada ya miaka 10 ukaongezwa 20 tena!.
Pasco
julius kaisari acha kumchezea ama kumtumia Yesu kujustify unachokitaka!Pasco wa JF
Hata Pilato alimuuliza YESU "Ukweli ni Kitu Gani"..Yesu alikaa kimya. Maana yake ni kuwa,Ukweli na Uongo its a subjective. Hivyo Wewe Pasco endelea kuamini Ukweli wako.
Hongera.
Nashukuru kwa pumba zako ila kama kawa nasoma kama hadithi ambazo ni za kupotezea muda.
Mungu analipa yote tunayotendewa watoto wake
NCHII HII SIJUI TUMEKUWAJE JAMANI, YAANI PESA ZA TANESCO ZINAZOTOKANANA NA MAKUSANYO YA KODI ZETU SIYO ZETU TENA??
PESA ZA MTU BINAFSI WAZIRI MKUU, RAISI, WAZIRI WA FEDHA et al ANAJULISHWA ILI IWEJE??
Dah et pesa si ya uma na ripoti ya CAG wanaikubali sasa CAG akaguaje pesa ambazo si za uma? kwa hili wanajichanganya, Lusinde anawatuhumu Mwanasheria mkuu kwa sababu anazitambua kuwa ni pesa za uma kasema mwenyewe jana japo katukana sana ndo point niliyoipata kutoka kwake ila anaogopa kuwawajibisha akidai kuwajibika si jambo dogoKweli wewe sasa unajifedhehesha sasa, kama haikuwa ya kwetu kwanini Ikulu ilihusika? CAG anahusikaje kwenda kukagua account ya mtu binafsi?? Mmmgh
Kama si za umma kwanini mwanasheria mkuu wa serikali-werema ndiye alikuwa akitoa maelekezo hadi kwa gaavana nduru na zaidi ya yote alihitaji hata maamuzi ya rais ili hizo pesa zitoke,
hizo pesa za tanesco zilipowekwa katika account zilikuwa za nani? Tanesco wanatengeneza pesa?
Pesa binafsi raisi anaingiaje, au pinda anaingiaje mkuu? hadi ahusike kukopiwa barua??
Pasco,
- unaomba tuelewashane wakati tayari umeshatoa hitimisho!!
- Tangu mwanzo hata kabla ya PAC kuwasilisha kamati msimamo wa Kafulila umekuwa kwamba ndani ya akaunti ya ESCROW kuna fedha ya TANESCO (umma). Hakuna aliyewahi kusema kwamba pesa yote ni ya umma. Kumbuka kwamba hela yote imetokana na shauri mahakamani. Badala ya kuilipa IPTL pesa ilikuwa inakwenda kwenye hii akaunti hadi shauri lingeamuliwa ili kujua kiasi halisi ambacho IPTL walistahili.
- Mahakama ikaamua kwamba ni kweli kwamba TANESCO walikuwa wanalipa pesa nyingi zaidi kuliko uhalisia.
- Sisi tukapewa nafasi ya kukokotoa mahesabu ili tuchukue cha kwetu na kinachobaki kiende IPTL.
- Tumeshindwa au tusema tumekaa kufanya hivyo kwa sababu hiyo pesa tulishaipiga, haipo. Ndio hizo akina Ruge wamezigawa kama njugu. Sasa utasemaje kwamba hakuna pesa yetu pale?.
- Hata kitendo tu cha akina Ruge kugawa hela ovyo kinakwambia kwamba ile haikuwa pesa yao.
- Katika hali ya kawaida kama ile ingekuwa pesa yao walioipata kihalali ingewezekanaje waigawe ovyo namna hiyo?
- Matarajiri wa Tanzania ni Rostam, Bakhresa na Mengi, mbona hatujasikia wakigawana fedha bararani namni ile?.
- Na kwa nini waliogawiwa wote ni wanasiasa, viongozi na watu wenye mamlaka fulani?
- Kwa nini Ruge hakwenda kugawa hizi fedha kwa wanafunzi wetu waliokosa mikopo kama kweli ana roho nzuri kiasi hicho?.
- Haya, wewe unaona ni sawa watu kugawana pesa kama maembe kama walivyofanya?
- Nchi za wenzetu hata kuingia na dola 10,0000 wanakuzuia lazima utoe maelezo ya kutosha na vielelezo kibao. Hapa kwetu watu wanagawana pesa kwenye rambo wewe unaona ni sawa hiyo? Pasco please!!
Mkuu Tetty, hili wewe ndio unalijua leo?!. Unamjua mtu aliyeileta IPTL?!, escrow ni matokeo tuu, lets get back to the basics tutibu chanzo!.Basi mpaka hapo Pasco tukubaliane kabisa kwamba hatuna viongozi tunamatapeli ambao wanatumia matatizo ya nchi kujipatia fedha bila kutumia jasho.
Hawa ndiyo wanahitajika kujinyonga wenyewe.Shida ni moja tuanze na yupi?Tembo Mkubwa,Tembo wakati au watoto wa Tembo?Hapo ndipo tulipo kwa sasa,ila kupigwa tumepigwa sana tu hilo halina mjadala.
Mkuu Tetty, hili wewe ndio unalijua leo?!. Unamjua mtu aliyeileta IPTL?!, escrow ni matokeo tuu, lets get back to the basics tutibu chanzo!.
Pasco