jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Hapo kwenye PAP. Je PAP ilianzishwa kutapeli hela za Escrow? Maana wenye mitambo ni benki waliokuwa na hati zake...Kwanini PAP kajifanya ndio mwenye kampuni na mmiliki wa hiyo mitambo?NB. Kuna vitu vitatu hapa msije kuchanganya
1. IPTL NI LIDUDU LILILONGIA NCHINI KWA RUSHWA MWANZO MWISHO.
2. ESCROW NI ACCOUNT YA UBIA WA TANESCO NA IPTL ILIYONUNULIWA KITAPELI NA PAP
3. FEDHA RUGEMALILA ALIZOGAWA NI FEDHA HALALI, FEDHA SAFI ZA MAUZO YA HISA ZAKE NDANI YA IPTL NA HAKUNA KOSA LOLOTE KUZIGAWA POPOTE KWA YEYETE, KWA SABABU YOYOTE AU BILA SABABU YOYOTE.
Kama PAP ametumia utapeli kuuibia serikali, this is none of JR business, kauza kihalali na kalipwa kihalali na kagawa kihalali, hakuna kosa lolote hapa.
Paskali