Nimesikitishwa na huu ubaguzi na udhalilishaji uliofanywa MwanaCHADEMA. Siasa sio uadui

Hapo ni digala wa kokoto, siku akiwa digala wa shaba sijui kiburi chake kitachemka kiasi gani? Mbaya zaidi ni wanafamilia wa viongozi waandamizi wa CDM wakipongezana katika kutenda udhalimu. Mithali 16:5
 
Hapo ni digala wa kokoto, siku akiwa digala wa shaba sijui kiburi chake kitachemka kiasi gani? Mbaya zaidi ni wanafamilia wa viongozi waandamizi wa CDM wakipongezana katika kutenda udhalimu. Mithali 16:5

Mzee hakutumia busara Mimi siwezi kwenda nyumbani kwa ridhiwani na t-shirt ya CHADEMA kufanya kibarua ni uchochezi.
 
Mzee hakutumia busara Mimi siwezi kwenda nyumbani kwa ridhiwani na t-shirt ya CHADEMA kufanya kibarua ni uchochezi.

Vaa viatu vya huyo Mzee inawezekana hana nguo nyengine. Huyu Mcdm angetakiwa amuulize kulikoni na sikumdhalilisha. Je siasa ni uadui hata kama wako wanaofanya siasa kuwa uadui huyo kijana Chacha alitakiwa ashinde hilo kwa kutokufikia kumkunja shati Mzee mwenye umri wa kumzaa.
 
Ukiweka pembeni siasa,yule ni aidha Baba yake au Babu yake.Vijana wa CHADEMA hawana adabu!
 
Ni kweli kabisa CHADEMA inapendwa na wasomi ndo maana mitandaoni ina nguvu sana. Ila hao unaowaita wajinga wa CCM ndo ikifika siku ya kupiga kura wanaiadhibu CHADEMA. Badilikeni. Msiwabague watu. Bila kuhakikisha watanzania wote wanajua sera zenu hamtaweza kushika dola. Hakainde Hichilema wa Zambia mwaka jana alikuwa akiwaambia wananchi wasiache kuchukua kanga, tshirts, mashati hata pesa toka chama tawala ila siku ya kupiga kura wasifanye kosa. Ilimsaidia akashinda. Ninyi CHADEMA mnafanya upumbavu mkubwa.
 
Vijana wa CHADEMA wanatakiwa wapate semina kuhusu haya mambo ya siasa. Huyo mzee ni mpiga kura muhimu sana. Watu wa rika hilo ndo huwa wanaiweka CCM madarakani. Cha kushangaza BAVICHA ndo wanawadhalilisha... kusema CHADEMA kinapendwa na wasomi huku kwenye kupiga kura wasomi hawaonekani ni ujinga uliokubuhu.
 
Hakuna haja ya kupeleka siasa kweny nyumba au kaz ya mtu!!
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-124014.png
    319 KB · Views: 2
Huu Ni uhuni yaani tukianza hivi nadhani Mtaani hakutakalika..

Ila mtoa mada kusema kwamba siasa sio uadui sio.kweli Ni uadui..

Huyo jamaa wa Chadomo angethubutu kuigeuza hiyo tisheti ya c na kuidekia Kama alivyosema angeona Moto huko jela..

Mwisho Chadema hawawezi lazimisha wapendwe Kama hawakubaliki Ni hawakubaliki tuu.
 
Mapolisiccm ndiyo wanashiriki wizi wa kura ili ccm iendelee kutawala
 
CCM TUNAIOGOPA KAMA UKOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…