MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #81
Umekosa hojamwambie babako uko aliko wapi alimpeleka Azory na Ben Saanane, wana familia na wana haki ya kuishi kama binadamu wengine !! hatujasahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosa hojamwambie babako uko aliko wapi alimpeleka Azory na Ben Saanane, wana familia na wana haki ya kuishi kama binadamu wengine !! hatujasahau.
Chadema ni wapumbavu sana hawajielewi
Kwahiyo kilichofanywa kwenye hiyo video ni sahihi??
Nani kakudanganya kwamba siasa au soka sio uadui?Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila kujua kwamba wazee kama hao ndo wapiga kura muhimu.
Natumaini uongozi wa CHADEMA utakemea huu ujinga uliofanywa na hawa vijana. Ikumbukwe vibarua wengi kwenye miradi mbalimbali ni vijana ambao wengi wao huipenda CHADEMA na hata kuvaa sare zao. Lakini huwa ni ngumu sana kuona wakitendewa vitendo vya hovyo kama alivyofanya Chacha.
CHADEMA kama chama cha kudumu cha upinzani lazima mhakikishe mnatuonyesha kwa vitendo mambo ambayo mmekuwa mkihubiri kwa muda mrefu. Mmekuwa mkipinga ubaguzi ila kupitia hii video mtajikana?
Hawa CHADEMA hata wakipewa nchi,mambo yatakuwa yaleyale ya CCM.
Ni ushamba wa kiwango cha mwisho kabisa ila ndo siasa za bongo zilivyo
Huyo ni mtoto wa Heche. Pia James Mbowe ni mtoto wa mmiliki wa CHADEMA
Huyo mzee kafanya nini? Mbona unakuwa hujielewi kwani wale makada si wanajulikana waende huko..
Huyo jamaa wa Chadema kwanza mshamba alivyovaa tu anaonekana mshamba.
CCM inapendwa zaidi na wajinga. CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wasomi na vijana (TWAWEZA).Chadema ni wapumbavu sana hawajielewi
Tena wamelaaniwaCCM ndio wapumbavu zaidi
CCM ni waizi ila huyu jamaa alichokifanya ni kitu Cha kipuuzi sana ila ni kawaida ya wakuria asili yao ni ushamba mwingi wakijua kuvuka barabara na kunywa bia huwa wanajiona wajanjaa kinoma yan kumbe ni ma mbanga tu nimekaa Musoma nikawajua vizuri
Tena wamelaaniwa
Laana tupuSio kulaaniwa, CCM ni mlango wa ibilisi kuitawala Tanzania.
Kwa unyama ccm mliofanyia wapinzani nchi hii, inatakiwa yatokee machafuko watu walipe kisasi kama wahutu na watusi. Iko siku isiyo na jina hamtaamini macho yenu.
Wakamfufue Nyerere kwanza wamuombe awape Nchi waiongoze, bila hivyo wasahau kuiongoza hii Nchi
Mi mwenyewe kama wewe ni CCM ukija kwangu hupati kazi.
Hicho ni kigezo changu kikubwa zaidi kuhusu dini hapo huwa sina kaubaguzi kabisa lakini ukiwa CCM aisee hata nikikuta unakufa njaa nitakuacha ufe.
Huo ndio ukweli nisifiche.
Ndugu Sagai mbona umekuwa mpuuzi kiasi hiki? Au ndo Mbowe aliwaelekeza muwe mnaingia mitandaoni kutukana?
Alipaswa kumheshimu tu kama baba yake! Hii ni ishara ya malezi mabovu kabisa. 🙏🙏🙏
That's true lakini ilianza kwa kuongozwa kabla ya kuongozwa iliyokua ikitawaliwa haikua Tanzania, swali nani alieanza kuiongoza Tanzania? Achana na suala la utawala,Nikusahihishe kwa Sasa Tanzania Kama nchi inatawaliwa na Wala haiongozwi. Ndio maana wananchi wakilalamika tozo wanaambiwa na serikali wahamie Burundi.