Nimesikitishwa na huu ubaguzi na udhalilishaji uliofanywa MwanaCHADEMA. Siasa sio uadui

Kwahiyo alichofanya huyo kijana kwako ni sawa?

Kwa unyama ccm mliofanyia wapinzani nchi hii, inatakiwa yatokee machafuko watu walipe kisasi kama wahutu na watusi. Iko siku isiyo na jina hamtaamini macho yenu.
 
Mi mwenyewe kama wewe ni CCM ukija kwangu hupati kazi.
Hicho ni kigezo changu kikubwa zaidi kuhusu dini hapo huwa sina kaubaguzi kabisa lakini ukiwa CCM aisee hata nikikuta unakufa njaa nitakuacha ufe.
Huo ndio ukweli nisifiche.
 
Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila kujua kwamba wazee kama hao ndo wapiga kura muhimu.

Natumaini uongozi wa CHADEMA utakemea huu ujinga uliofanywa na hawa vijana. Ikumbukwe vibarua wengi kwenye miradi mbalimbali ni vijana ambao wengi wao huipenda CHADEMA na hata kuvaa sare zao. Lakini huwa ni ngumu sana kuona wakitendewa vitendo vya hovyo kama alivyofanya Chacha.

CHADEMA kama chama cha kudumu cha upinzani lazima mhakikishe mnatuonyesha kwa vitendo mambo ambayo mmekuwa mkihubiri kwa muda mrefu. Mmekuwa mkipinga ubaguzi ila kupitia hii video mtajikana?
Unamdhalilisha sana Mh. Rais Samia kwa kutumia jina na picha yake huku ukipost mambo ya kipuuzi na kimalaya malaya tu.
 
Ndugu Sagai mbona umekuwa mpuuzi kiasi hiki? Au ndo Mbowe aliwaelekeza muwe mnaingia mitandaoni kutukana?
 
Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila kujua kwamba wazee kama hao ndo wapiga kura muhimu.

Natumaini uongozi wa CHADEMA utakemea huu ujinga uliofanywa na hawa vijana. Ikumbukwe vibarua wengi kwenye miradi mbalimbali ni vijana ambao wengi wao huipenda CHADEMA na hata kuvaa sare zao. Lakini huwa ni ngumu sana kuona wakitendewa vitendo vya hovyo kama alivyofanya Chacha.

CHADEMA kama chama cha kudumu cha upinzani lazima mhakikishe mnatuonyesha kwa vitendo mambo ambayo mmekuwa mkihubiri kwa muda mrefu. Mmekuwa mkipinga ubaguzi ila kupitia hii video mtajikana?
Alipaswa kumheshimu tu kama baba yake! Hii ni ishara ya malezi mabovu kabisa. 🙏🙏🙏
 
Ndugu Sagai mbona umekuwa mpuuzi kiasi hiki? Au ndo Mbowe aliwaelekeza muwe mnaingia mitandaoni kutukana?
Wewe ndiye mpumbavu unatumia jina na picha ya Rais ilhali maudhui ya threads na post zako ni ya kimalaya malaya,au mwenyekiti mwenyewe anabariki huu udhalilishaji unaomfanyia? Nakushauri usitumue hiyo picha kwenye avatar yako na hiyo jina badili kwa kulinda heshima ya Mh. Rais. Moderators please take note.
 
Mwenye hii ID UKIONA JINA langu utakuwa umenifahamu ni shakugundua .sina la kukulaumu ujinga punguza
 
ccm ni washenzi sana tena wauaji wakubwa RIP A. Mawazo

IMG_20221128_205938.jpg
 
Hii video imepostiwa na kada wa CHADEMA James Mbowe ikimuonyesha kijana Chacha Heche akimfanyia kitendo cha kibaguzi mzee anayeonekana kavaa shati la chama pendwa CCM. Kupitia maandishi yake (caption), James Mbowe ameonekana akifurahia sana kitendo cha kipuuzi kilichofanywa na kijana Chacha bila kujua kwamba wazee kama hao ndo wapiga kura muhimu.

Natumaini uongozi wa CHADEMA utakemea huu ujinga uliofanywa na hawa vijana. Ikumbukwe vibarua wengi kwenye miradi mbalimbali ni vijana ambao wengi wao huipenda CHADEMA na hata kuvaa sare zao. Lakini huwa ni ngumu sana kuona wakitendewa vitendo vya hovyo kama alivyofanya Chacha.

CHADEMA kama chama cha kudumu cha upinzani lazima mhakikishe mnatuonyesha kwa vitendo mambo ambayo mmekuwa mkihubiri kwa muda mrefu. Mmekuwa mkipinga ubaguzi ila kupitia hii video mtajikana?
Chama cha tozo! Kweli kabisa. Huyo mzee naye anatakiwa kujitambua. Hata mimi siwezi kuvaa dekio bhana.
 
Back
Top Bottom