Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hayakuhusuuu ...hatumtaki huyo mamluki wenu Membe...tulivyofanywa vby na lowasa hatutaki Tena mtu mgeni kwetu😏Kila mwaka Chadema wanataka wao ndo waweke mgombea urais.ubinafsi umewajaa sana.
Tulia wwNa ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa na mikusanyiko ya watu wakati wa kutafuta wadhamini. Na Lissu ni msomi na anajua umuhimu wa ushirikiano na ameshauongea kwenye hotuba zake........ Sioni jinsi Chadema inaweza kushinda huu uchaguzi bila ushirikiano na ACT ili kupata kura za kutosha sehemu mikoa kama Kigoma, mikoa yote ya pwani na kusini mwa Tanzania, Zanzbar na miji mikubwa kama Dar na kadhalika......
Yanaboa balaaTulia ww
Kila mtu ashinde mechi yakeKila mwaka Chadema wanataka wao ndo waweke mgombea urais.ubinafsi umewajaa sana.
Hivi mzee baba ACT ina wabunge wangapi na madiwani wangapi nchi nzima?Kila mwaka Chadema wanataka wao ndo waweke mgombea urais.ubinafsi umewajaa sana.
Acha propaganda za mwaka 47. Wake up lumumba, huku Chadema ikiendelea kushine Kilimanjaro
Mkuu unatakiwa uwe makini sana , hatuna shaka na Maalim Seif , 2015 Zitto alikuwa nje ya UKAWA , Uliwahi kujiuliza kwanini ? Zitto Kabwe ndio mpinzani pekee aliyebaki ndani ya bunge siku Magufuli analihutubia bunge kwa mara ya kwanza baada ya wapinzani wote kuondoka kupinga Mamluki Dr Shein mtu aliyeshindwa uchaguzi na Maalim Seif kuingia bungeni , umewahi kujiuliza hili ?Salaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Hapo chacha .. lazima umakini utumikeHayo mawazo ya kuungana huwa yanaibuka wakati wa uchaguzi tu, kwanini huwa hayatolewi mapema watu wapate muda mzuri wa kuyajadili?
ACT Kigoma ina nguvu, hebu niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko uchaguzi mkuu uliopita?Na ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa na mikusanyiko ya watu wakati wa kutafuta wadhamini. Na Lissu ni msomi na anajua umuhimu wa ushirikiano na ameshauongea kwenye hotuba zake........ Sioni jinsi Chadema inaweza kushinda huu uchaguzi bila ushirikiano na ACT ili kupata kura za kutosha sehemu mikoa kama Kigoma, mikoa yote ya pwani na kusini mwa Tanzania, Zanzbar na miji mikubwa kama Dar na kadhalika......
Hapo ndo makosa yalipo na huo ndo ubinafsi.Hivi mzee baba ACT ina wabunge wangapi na madiwani wangapi nchi nzima?
Kipi kilichokusikitisha Ndugu?! kwani mpaka sasa hujaandika chochote kuhusu huo ubinafsi. Anza upya...acha kubwabwaja kakaSalaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Kabisaa.akuna kubebwa kama 2015.Kila mtu ashinde mechi yake
CCM mnangaika Sana these days... Ngojeni dozi iwaingieSalaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Hata mimi nashindwa kujua nini tatizo lao maana kila kukicha oooh cdm oooh cdm, dadeeekiCCM mnangaika Sana these days... Ngojeni dozi iwaingie
Ccm bila kubebwa siyo ccm bali itakuwa ni lunyasi ccmKabisaa.akuna kubebwa kama 2015.
Huyo jamaa yupo hapa kutupumbaza tu kisa nguvu ya cdm inayoonekana na walidhania kuwa cdm imekufaKipi kilichokusikitisha Ndugu?! kwani mpaka sasa hujaandika chochote kuhusu huo ubinafsi. Anza upya...acha kubwabwaja kaka
Cdm haina haja ya kuungana na virus wa lumumba, ni heri tukose kabisa kuliko kushirikiana na watu kama kina Mwambe na lowasa amabao nia yao ni kuimaliza cdm.Hapo ndo makosa yalipo na huo ndo ubinafsi.
kama kigezo ni idadi ya wabunge kwa nini Chadema inajaribu kuungana na ACT ambao wana mbunge mmoja?
CCM ndo imekufanya wewe uwe na uwezo wa kuchat hapo ulipo ukiwa na cm yako kiganjani.