Uchaguzi 2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

Uchaguzi 2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

Hadithi za kutunga wenzio wanakaa darasani wanasomea.Siyo kukurupuka mapema asubuhi unashika kalamu.
 
Tupe matokeo yalikuwaje basi, maana uhalisia ni kuwa kwenye urais JPM kashinda hata kama wakirudia leo, Lissu anapigwa tu, ukakasi upo kwenye baadhi ya majimbo kura za ubunge kuchakachuliwa.....but not the entire election
Kweli, hata mimi naamini hivyo, kwenye uraisi Magu angeshinda , ila si kwa kura zote zile 84%, Kwa wabunge na madiwani kwa kweli wameibiwa
 
Lissu na wafuasi wake wana sifa kuu hizi hapa
  1. Kwa kutunga uongo no. 1
  2. Kwa unafiki no. 1
  3. Kwa fake news no. 1
  4. Kwa uchonganishi no. 1
  5. Kwa movie za kihindi no. 1
  6. Kwa negativity no. 1
  7. Kwa ugomvi no. 1
  8. Kwa ubishi na kupinga kila jambo no. 1
 
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi!! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Stupid..I'd mnadhan watanzania Ni mafala eeeh...hi tungo kila mtu anaweza kuitunga Wala sio shida...maamuzi ya watanzania mnayadharau hivi mnadhani watanzania hawana akili..tafuteni kazi nyingine za kufanya huku hampawezi
 
Hiyo ni porojo tu; wala sikusumbue kutafuta ushahidi kwani haupo labda ule wa kupikwa tu kama zile "kura feki" ambazo hazikuwa na namba ya mpiga kura wakakimbilia kuzichoma kuficha ushahidi..
Wee nawe mpuuzi kama wengine! Kwani namba ya mpiga kura ipo kwenye karatasi la kupiga au inabaki kwenye kibutu cha daftari?
 
Barikiwa sana aisee ,kuna wajinga waliendeshwa na maagizo kuliko taratibu halisi inauma sana
 
Wee nawe mpuuzi kama wengine! Kwani namba ya mpiga kura ipo kwenye karatasi la kupiga au inabaki kwenye kibutu cha daftari?
Kama unadhani mimi mpuuzi, basi mwulize jamaa huyu anayeongea hapa. Kuna watu wa aina yako ambao hufuata mkumbo kutoka kwa akina Lissu bila hata kutafuta ukweli wenyewe. Sasa elewa kuwa ukweli ndio huo; huwezi kuja na kura bandia zisikamatwe

 
WEwe ni tako kama matako mengine ya nyani, kama umetenda haki weka na jina na kituo tufuatilie tuone kama ulikuwa msimamizi kweli au ni poyoyo tu.

Pia kura ulizo toa na zilizotangazwa kama zina tofauti.
Aweke kituo ili serikali hii ya shetani imefanyie mbaya?

Shetani hana soni
 
Hongera sanaaa Tena sanaa[emoji120][emoji120].
Wewe ni SHUJAA na mzalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom