Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae ndugu yangu...unafika wakati unashindwa kuamini kwamba kweli huyu ndiye yule uliyemfahamu! Acha tu, ndivyo dunia ilivyo!Hata wewe?
Mkuu, tupia kaushahidi angalau kidogo basi ili wanabodi wasije wakakuona kuwa unapiga porojo tu
Mbona umepanic bruhKama umetenda haki weka na jina na kituo tufuatilie tuone kama ulikuwa msimamizi kweli au ni poyoyo tu.
Pia kura ulizo toa na zilizotangazwa kama zina tofauti.
Kweli, hata mimi naamini hivyo, kwenye uraisi Magu angeshinda , ila si kwa kura zote zile 84%, Kwa wabunge na madiwani kwa kweli wameibiwaTupe matokeo yalikuwaje basi, maana uhalisia ni kuwa kwenye urais JPM kashinda hata kama wakirudia leo, Lissu anapigwa tu, ukakasi upo kwenye baadhi ya majimbo kura za ubunge kuchakachuliwa.....but not the entire election
Vipi,mmeshajipanga barabarani 😂?Kuna kuku wa Lumumba watakuja kukubishia. Ngoja kukuche.
Stupid..I'd mnadhan watanzania Ni mafala eeeh...hi tungo kila mtu anaweza kuitunga Wala sio shida...maamuzi ya watanzania mnayadharau hivi mnadhani watanzania hawana akili..tafuteni kazi nyingine za kufanya huku hampaweziKimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.
Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi!! Nilifika hatua nikakereka mno.
Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Wee nawe mpuuzi kama wengine! Kwani namba ya mpiga kura ipo kwenye karatasi la kupiga au inabaki kwenye kibutu cha daftari?Hiyo ni porojo tu; wala sikusumbue kutafuta ushahidi kwani haupo labda ule wa kupikwa tu kama zile "kura feki" ambazo hazikuwa na namba ya mpiga kura wakakimbilia kuzichoma kuficha ushahidi..
Cha ajabu wachungaji na masheikh watakuwa wakijumuika na Pombe kupiga taafrija za mara kwa mara Ikulu, makanisani na Masjid.Magufuli ni hopeless sinner!View attachment 1617505
Kama unadhani mimi mpuuzi, basi mwulize jamaa huyu anayeongea hapa. Kuna watu wa aina yako ambao hufuata mkumbo kutoka kwa akina Lissu bila hata kutafuta ukweli wenyewe. Sasa elewa kuwa ukweli ndio huo; huwezi kuja na kura bandia zisikamatweWee nawe mpuuzi kama wengine! Kwani namba ya mpiga kura ipo kwenye karatasi la kupiga au inabaki kwenye kibutu cha daftari?
Aweke kituo ili serikali hii ya shetani imefanyie mbaya?WEwe ni tako kama matako mengine ya nyani, kama umetenda haki weka na jina na kituo tufuatilie tuone kama ulikuwa msimamizi kweli au ni poyoyo tu.
Pia kura ulizo toa na zilizotangazwa kama zina tofauti.