Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Mbona maigizo sasa? Ebu mucall uje umpime mwenyewe uhakikishe asije kuwa anataka kutoa
 
Sasa uwakika gan unaoutaka wakati ulimwaga ndani? Mimba inaweza tungwa na single sperm sasa kama ww uliona zimetoka usijipe uwakika kuwa zilitoka zote. Lea mimba akiisha jifungua ukapime DNA sasa
Pamoja sana mkuu
 
Wewe bado dogo, hujawa mwanaume bado. Unachotuangaisha hapa ni wivu wako wa kitoto. Mimba yako hiyo. Labda utuambie huna uwezo wa kutungisha mimba.

Jaman kazi iendelee
 
Mtege, muulize kabla ya hapo alianza cycle yake tarehe ngapi, lakini siku nyingine ni muhimu sana kujua mzunguko wa mpenzi au mke wako.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Asante sana, akikwepa kwepa ntajua tu, lakini kwa hili la leo kunitumia ujumbe kuwa hana mimba alikuwa akinitega tu, ndo nazidi kutomwamini kabisa kumbe anaweza kunidanganya hata tukiwa ndoani
 
Wewe bado dogo, hujawa mwanaume bado. Unachotuangaisha hapa ni wivu wako wa kitoto. Mimba yako hiyo. Labda utuambie huna uwezo wa kutungisha mimba.

Jaman kazi iendelee
Kwa hiyo mkuu unaamua kunichomesha?
 
Sawa mkuu ntampa moyo niwe nae asije chkua maamzi tofauti
Kabisa boss maana akichukua maamuzi yasiyo sahihi ni wewe mtuhumiwa wa kwanza kwahiyo maintain calmness wakati huu mpaka ajifungue.
 
kabisa boss maana akichukua maamuzi yasiyo sahihi ni wewe mtuhumiwa wa kwanza kwahiyo maintain calmness wakati huu mpaka ajifungue
Sawa mkuu, niulee tu uja uzito?
 
Pole sana.

1. Kwanza ujue kutofautisha kati ya "manii"(semen) na "shahawa"(sperm).
2. Sikuwahi kujua soda inaweza kuzuia sperm zisifikie yai na kurutubisha.
3. Kuna wanawake wanaweza kuwa na mzunguko wa hedhi usio wa kawaida (28 days). Kwa hivyo ni vigumu kutoa hukumu mapema.
4. Uwezekano wa kubambikiziwa upo. Ila kwa namna alivyokuonya kabla, chances ni ndogo.
5. Unaweza pia ukawekewa mtego wa kupigwa pesa hapo. Mimba labda hana. Ila anakwambia ipo na atakuja na wazo la kuitoa....pesa hapo itahitajika.
6. Nakushauri kabla ya kufanya chochote, mtafute kwanza mkapime mkiwa wote (maabara) ili kuwa na uhakika kama mimba ipo ama la.
 
Sawa mkuu nimekuelewa sana,, lakini mkuu baada ya mimi kumkazia jana na kumwambia kuwa akae miezi miwili tukapime umri wa mimba, alinikubalia lakini leo ananiambia nimsamehe kwa yale aliyo niambia kuwa ana mimba ,, leo anasema hana mimba alikuwa ananipima,,

Mkuu mtu kama huyu utamfanyeje?!!
Naona kama anacheza na akili yangu mkuu
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…