Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Nikubali tu kitu sina uhakika nachom
Sasa uwakika gan unaoutaka wakati ulimwaga ndani? Mimba inaweza tungwa na single sperm sasa kama ww uliona zimetoka usijipe uwakika kuwa zilitoka zote. Lea mimba akiisha jifungua ukapime DNA sasa
 
Kadinyaji mnooooo.

Kanajua ndoa ni chumba unaingia tu unafanya Yako ukitaka unatoka.

He will be very surprised.
Ntajipanga kwanza kabla ya ndoa maana hii ni alarm tosha
 
Hapa nisha ibiwa kabisa,, jana nimembana sana kuhusu mzunguko wake akawa ananiletea hesabu za hovyo, nikamwambia kama kweli una mimba ama mimba ni yangu ama si yangu itajulikana tu, nikamwambia subili miezi 2 tukapime maana mchawi ni "Ultra sound " nashangaa leo asubuhi saa moja mapeema inaingia sms kuwa nimsamehe hana mimba alikuwa ananipima, nimemuulza kwanini ulikuw unanipima anasema kawaida tu,, nimemsii kama ameamua kusema hivyo labda me nisimwache, nimemsii asitoe mimba kama kweli anayo.
Lea mimba kaka hyo mimba imeingia tar 24 bila ubishi na alikuwa danger siku hyo na hyo haina ubishi

Hii Draft aina kusumbua kichw mimba yako

Mkuu mwana mke akisema hii mimba yako hakuna kupinga mm nilishawai kukataa mimba nikajua labda akizaa atabadilisha maamuz na sikutoa hata mia lakn aliendelea kushikilia msimamo huo huo mtoto kuzaliwa mm kabisa nilipata aibu nikaanza kujikomba komba mtoto anamiaka saba sasa hivi namlea kama kawa nilisha jifunza mkuu

Kubali tu usikimbie majukumu.

Kubari tu mimba ni yako mlee mtoto wenu baraka hiyo amekuletea


Ukweli utaujua tu bro.

Ahh kimahesabu ni wa kike.
 
Hauna cha kukimbia hapa mkuu, labda kama uliongoza na muhuni, ila hapa iko wazi kabisa ukipiga hesabu za kisayansi mzigo ni wako, expect baby gal kabisa.
Leo anatuma sms kuwa hana mimba, alikuwa anipima nahisi kasema vile baada ya kuhisi me nimeshitukia mchezo,maanakipindi naongea nae alikuwa akijikakamua tu lakini alijua tu hapa kuna kasheshe
 
Back
Top Bottom