Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa yako na huyo mwanamke (Endapo itatokea) sijui kama itamaliza MwakaMkuu inaniuma sana, roho yangu inaugulia uchungu nisije lea mimba haramu, wanawake tamaa zimetawala yaweza kuwa alikuw na mtu
Sikushauri uishi nae kama hujajipanga ila usimtenge wakati huu msaidie unavyoweza ukweli utajulikana tuAmina mkuu,, lakini kuishi nae sasa
Sasa uwakika gan unaoutaka wakati ulimwaga ndani? Mimba inaweza tungwa na single sperm sasa kama ww uliona zimetoka usijipe uwakika kuwa zilitoka zote. Lea mimba akiisha jifungua ukapime DNA sasaNikubali tu kitu sina uhakika nachom
Hapa nisha ibiwa kabisa,, jana nimembana sana kuhusu mzunguko wake akawa ananiletea hesabu za hovyo, nikamwambia kama kweli una mimba ama mimba ni yangu ama si yangu itajulikana tu, nikamwambia subili miezi 2 tukapime maana mchawi ni "Ultra sound " nashangaa leo asubuhi saa moja mapeema inaingia sms kuwa nimsamehe hana mimba alikuwa ananipima, nimemuulza kwanini ulikuw unanipima anasema kawaida tu,, nimemsii kama ameamua kusema hivyo labda me nisimwache, nimemsii asitoe mimba kama kweli anayo.Hata hii chart inakataa!View attachment 1779684
Lea mimba kaka hyo mimba imeingia tar 24 bila ubishi na alikuwa danger siku hyo na hyo haina ubishi
Hii Draft aina kusumbua kichw mimba yako
Mkuu mwana mke akisema hii mimba yako hakuna kupinga mm nilishawai kukataa mimba nikajua labda akizaa atabadilisha maamuz na sikutoa hata mia lakn aliendelea kushikilia msimamo huo huo mtoto kuzaliwa mm kabisa nilipata aibu nikaanza kujikomba komba mtoto anamiaka saba sasa hivi namlea kama kawa nilisha jifunza mkuu
Kubali tu usikimbie majukumu.
Kubari tu mimba ni yako mlee mtoto wenu baraka hiyo amekuletea
Hata hii chart inakataa!View attachment 1779684
Ukweli utaujua tu bro.
Ahh kimahesabu ni wa kike.
Leo anatuma sms kuwa hana mimba, alikuwa anipima nahisi kasema vile baada ya kuhisi me nimeshitukia mchezo,maanakipindi naongea nae alikuwa akijikakamua tu lakini alijua tu hapa kuna kashesheHauna cha kukimbia hapa mkuu, labda kama uliongoza na muhuni, ila hapa iko wazi kabisa ukipiga hesabu za kisayansi mzigo ni wako, expect baby gal kabisa.
Hamna mke hapo... Ulitakiwa kushtuka mapema sanaanadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.