Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Hiyo hali uliyokuw nayo mkuu ,ndo hali inayonisumbua Mimi , japo me nimeamua kutulia tu sijakataa mimba ila kama yangu tutajua baadae.
 
Sawa mkuu nisha kubali, lakini siku ile ya Coca Cola ndo mara yetu ya kwanza kukutana naye kimwili
 
Nakwambia ukweli ndoa sio mchezo ebu fikiria kuish na mtu for the rest of your life na huna amani , haifai kabisaa
Kweli mkuu hapa nisha stick kabisa,, yaani amani haipo mkuu nayeye ameamua kukaa kimya sahiz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kula mzigo ndo unasema wanawake wanatamaa sana[emoji23][emoji23], unajaribu kufanya hapo ni kutafuta sapoti ya kukana mimba
Daah nijipange kwa mapambano
 
Kwa hiyo tarehe 24 ilikua siku ya danger,,hiyo tarehe 28 alikua safe.. Kuna uwezekano mkubwa ujauzito ni wako mana ovulation inaweza kuwahi siku mbil kabla au baada..usiikatae mimba, subiri mtoto azaliwe ndo utaujua ukweli
 
Mimba yako hio ..kwa taarifa tu Coca cola haizuii mimba na ukipiga mahesabu alikua siku ya hatari hio tarh 24.Muombe msamaha na anza kujiandaa kua baba
 
Huu ni wizi hakuna kitu kama hicho,, yeye aseme tu ukweli
Hivi unafaham kusoma calendar kweli? Wizi upo waoi kama mzunguko wake ni siku 28_30? Au unataka tu kukimbia majukumu.

Acha kumuumiza kihisia mtoto wa watu jilaumu wewe kwa kuacha kwenda kununua condom ukanunua Coca
 
Naona mjadala hauishi kama vipi nikabidhiwe huyo mwanamke mwenye mimba niendelee kujazia vitu vilivyopungua hadi mtoa mada atapokuwa tayari.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo mkuu umepiga akiwa kwenye danger zone kama kweli mara ya mwisho aliingia tar 6 naww ukapiga tar 24. Maana safe zone inaisha around 10 days baada ya kuingia bleed say tar 16. Then danger zone inaanza immediately for around 10 days means inaenda mpaka around tar 26 ikiisha hiyo inakuja safe zone for around 10 days from around tar 27 mpaka mzunguko mwingine so kama ulipiga tar 24 hiyo imo ndan ya danger zone mzee kwahyo mzigo unakuhusu huo
 
Ila elimu ni jambo la muhimu sana...

Hivi kweli kuna mtu anaamini kunywa Coke kunazuia ujauzito...!!!

Halafu mtu anadinyana bila condom wakati hata elimu ya uzazi hana, hajui kwamba mimba hiweza kutungwa hata nje ya siku za hatari kutegemeana na mabadiliko ya vichocheo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…