Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

[emoji16][emoji16][emoji16] naunga hoja, mwanaume kupambana..alivyokuwa anakatika huku na huko alijua anatafuta almasi?
Umasema tuishi nao kwa Akili kumbe we ndo zezeta huna akili (samahani lakin) kwaio ulivyoambiwa Soda ya coca inazuia mimba nawee ukaamini kwa asilimia zote?? Lea mtoto nmkuu umevuna ulichopata BAADA YA STAREHE NI MAUMIVU)
 
Back
Top Bottom