billioner
Member
- Feb 11, 2021
- 81
- 51
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa shida iko wapi Dogo? Wakati unasikia raha hukujua kuwa kuna karaha pia? Utapenda siku moja binti yako achezewe hivyo?Me nilitamani nimwambie tukapime umri wa mimba
Nimetabiri, wewe lea tu Mkuu jina limepatikana hiloKwanin somoye Mkuu, maana mtoto hajajulikan jinsia yake
Asante mkuu mi mwenyewe wazo langu lilikuwa nimwambie tukapime umri wa mimba.Kam unaamin kafanye Ultra sound itaonesha GA(gestation age) then ucompare na mda ulio mlala but kama Ivi kibaharia tusubiri azaliwe tuta confirme kwa DNA. Jipange kwanza uwahi kuoa.
Another single mother in town
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Safi kabisa Kijana wangu, kunywa K-Vant nakuja kulipa! Mwanaume halisi hawezi kukataa mimba! Nileteeni hao mnaowakataaMimi nipo kwenye situation kama yako. Tofauti yangu na wewe Mimi nimeikubali nimeipokea kwa furaha kubwa
Ukiendelea kumkataa niletee Mimi please, nitakusaidia kulea, usimtelekezeWaswahili walinena,,, ningejua huja mwisho wa tukio!!!
Kwasababu wewe umekataa ujauzito mkuu nipe fursa hiyo.Kwanini umpe ushauri wa maisha?
Kuwa na msimamo Kijana! Mngejua kuchelewa kuzaa kunavyoleta stress huko mbeleni, I wish mngejua, I wish mngeelewa.Namimi sipendi nimtelekeze mkuu,, yaaani nampenda sana lakini kwa stuation hii daaah