Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Lilinitokea swala kama hili, ila lina utofauti kidogo.
Mwanamke cku alipokuwa ktk heat period akanambia na alitaman kutumia mbinu yoyote tukutane kutokana na umbal ckukutana naye.
Baada ya wiki 2 baadae alianza kulalamika tumbo, Tukahisi bleed lakn haikuja, nkaja kusafir na kukutana naye.
Baada ya kuondoka wk haijaisha akaendelea kulalamika tumbo na kusema yaweza kuwa mimba, baada ya kupima akanambia ana mimba.
Nikamwambia sina uhakika kama yangu ntaenda tupime, bac alijarib kulazimisha ili nikubali tu.
Alikasirika na kusema kwann simuamin.
Lakini wik tena badae ananitumia sms kwamba kaitoa kwa sabab sizizozuilika na nimsamehe.
Ndipo nkahisi haikuwa yang kwan nilimuahid hazipit cku nying ntaenda tukapime tujue hatma.
 
Wewe ndie mwenye mzunguko ama yeye. Umedanganywa na Dokta Mwaka ama Ndodi kuwa coca cola zinazuia mimba. LEA MIMBA ACHA KUTUJAZIA WATOTO WA MITAANI
Daaah sawa mkuu,si kwamba mi namkataa lakini wasi wasi ni labda kanitegesha mimba.

Mimi ntafanya uchunguzi zaidi na kama ananidanganya itajulikana mbele ya safari.
 
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja,, tumezoeana siku had siku baadae mwafaka ukawa baadae tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga,,

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba,

Nilipo ileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapo kunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu,

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta,,

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,, nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usariti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.
Asanteni.
Hakuna mimba ya namna hiyo, hapo unatapeliwa kwa 100%.
Achana na huyo malaya faster faster, mpige chini mapema.
Yeye anasema umempa mimba, na wewe mwambie yeye kakuambukiza gono au ukimwi na vimeanza kukutesa, hivyo kila mtu apambane na hali yake.
 
Lilinitokea swala kama hili, ila lina utofauti kidogo.
Mwanamke cku alipokuwa ktk heat period akanambia na alitaman kutumia mbinu yoyote tukutane kutokana na umbal ckukutana naye.
Baada ya wiki 2 baadae alianza kulalamika tumbo, Tukahisi bleed lakn haikuja, nkaja kusafir na kukutana naye.
Baada ya kuondoka wk haijaisha akaendelea kulalamika tumbo na kusema yaweza kuwa mimba, baada ya kupima akanambia ana mimba.
Nikamwambia sina uhakika kama yangu ntaenda tupime, bac alijarib kulazimisha ili nikubali tu.
Alikasirika na kusema kwann simuamin.
Lakini wik tena badae ananitumia sms kwamba kaitoa kwa sabab sizizozuilika na nimsamehe.
Ndipo nkahisi haikuwa yang kwan nilimuahid hazipit cku nying ntaenda tukapime tujue hatma.
Me mwenyewe nilimwambia akapime huko aliko lakini ananiambi ntaenda tu,, nataka nimwambie option ya mwisho kuwa kama ni yangu kweli itajulikana, tupime kwa Utra Sound tuhakiki, nimsikie atasema nini?

Na nilipo mwambia kitu hicho tulizungushana sana,baada ya simu kukatika kwa muda alituma sms kuwa kanisamehe kwa yote nilo mwambia sababu ananipenda.mkuu hakika swala hili linaninyima usingizi na sielewi nifanye nini kuujua ukweli.
 
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja,, tumezoeana siku had siku baadae mwafaka ukawa baadae tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga,,

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba,

Nilipo ileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapo kunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu,

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta,,

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,, nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usariti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.
Asanteni.
Hapo umepigwa mzee! Maana danger zone kwa mujibu wa science ilitakiwa iwe tarehe 15-20 ya mwezi wa 4 ndio yai linaweza kuchavushwa!

Nyie mmekuja kupigana spana tarehe 24 huko ina maana its aidha demu mwenyewe ajielewi mzunguko wake vizuri au aliuza mechi kabla hajakuletea mbunye! Ila kwa hizo tarehe alizosema ilitakiwa awe ame exit danger zone kwa sababu hata ukipiga siku 7 za yai kuwa tayari ilitakiwa baada ya tarehe 22 muambulie bila bila!

Af Sayansi za mwituni za kutumia coca wakat p2 zipo ni upumbavu! Ungenunua P2 ni buku 5 tu yeye mwenyewe atakuwa anazijua ila kakuona ndezi 😄😄😄 akupe msala!
 
Mimba gani hiyo inaingia siku ya 18 ya mzungumko wa hedhi halafu ndani ya wiki mbili mhusika anasema ana mimba yako?
Toka lini soda ya Cokacola ikazuia mimba?

Hakuna sayansi ya kihuni hivyo.
Wewe mwambie huyo malaya akatafute mtu aliyemtia mimba, lakini asilete upumbavu huo kwako.

Usicheke cheke na malaya.
 
Hakuna mimba ya namna hiyo, hapo unatapeliwa kwa 100%.
Achana na huyo malaya faster faster, mpige chini mapema.
Yeye anasema umempa mimba, na wewe mwambie yeye kakuambukiza gono au ukimwi na vimeanza kukutesa, hivyo kila mtu apambane na hali yake.
Kwa kweli simwamini kabisa mkuu yaani na kwa maneno yake alokuwa akiniuliza tukiwa pamoja, nahisi kabisa kanitapeli maana baada ya siku mbili ananiambia ngoja nisubiri hukumu yangu(breed) ndo baadae ananiambia hajaona.

Japo kuna baadhi ya watu mhimu washatambua kuwa tutakuja kuoana baade lakini me naona (bora kuvunja uchumba kuliko ndoa)
 
ilishawahi kunitokea...

demu nilimpiga ubolo tena kwa mpira katikat ya mechi akasema nivue inamuumiza nikakaza

kesho yake ananiambia "nahisi nina mimba" nikamjibu "tafuta baba yake hali" mwisho wa siku alikuja kuniambia "nilikuwa nakupima ili nione ikiwa ,kweli utalea?"

nilichomjibu ni siri yake mpka hatuongei kaninunia maishaaa!!

USHAURI:

INAWEZEKANA ANAKUPIMA MKUU AONE RESPONSE YAKO KWAKE
 
Hapo umepigwa mzee! Maana danger zone kwa mujibu wa science ilitakiwa iwe tarehe 15-20 ya mwezi wa 4 ndio yai linaweza kuchavushwa!

Nyie mmekuja kupigana spana tarehe 24 huko ina maana its aidha demu mwenyewe ajielewi mzunguko wake vizuri au aliuza mechi kabla hajakuletea mbunye! Ila kwa hizo tarehe alizosema ilitakiwa awe ame exit danger zone kwa sababu hata ukipiga siku 7 za yai kuwa tayari ilitakiwa baada ya tarehe 22 muambulie bila bila!

Af Sayansi za mwituni za kutumia coca wakat p2 zipo ni upumbavu! Ungenunua P2 ni buku 5 tu yeye mwenyewe atakuwa anazijua ila kakuona ndezi 😄😄😄 akupe msala!
Dah mkuu najilaumu sana tena sana, me nahisi hizo P2 labda alimeza maana kipindi natoka kuchukua soda nilikuta kasimama mlangoni na alikuja na kimkoba ambacho kilikuwa na vitu vyangu,, labda hizo P2 alikuwa nazo maana siwezi jua, mambo ya wasichana ni mengi.
 
Angemeza asingekuwa na mimba
 
Mimba gani hiyo inaingia siku ya 18 ya mzungumko wa hedhi halafu ndani ya wiki mbili mhusika anasema ana mimba yako?
Toka lini soda ya Cokacola ikazuia mimba?

Hakuna sayansi ya kihuni hivyo.
Wewe mwambie huyo malaya akatafute mtu aliyemtia mimba, lakini asilete upumbavu huo kwako.

Usicheke cheke na malaya.
Me npo radhi bora mimba ailee kwao maana nafsi yangu najaribu kuiaminisha lakini hataki kabisa mkuu.
Maombi nafanya labda ntapata amani juu ya swala hili lakini naambulia zilo.
 
Angemeza asingekuwa na mimba
Kwahiyo mkuu me namtema aisee hadi aseme ukweli, asije nipakazia kumbe baba wa mtoto yupo maana kwa story zake za kusema yeye marafiki wengi ni wakiume inanitia shaka Sana.
 
Back
Top Bottom