Nimesitisha kutoa mahari

siyo msikivu achana naye
 
We Ni mjinga sana
 
Akili hiko matakoni mwako.
 
Duh imemuonesha dharau kubwa sana,inamaana sikuzote humuoni huyo rafiki yako akiteseka mtaani?

Omba msamaha kwa binti upate baraka
 
Yaani mke na rafiki una walinganisha.

Una akili za matako walaai.
 
Wewe utakuwa mkristo mnashida sana yaani mnaringa waislam ndio maana wanaoa hadi wanaume zao Hawaringi Dini Yao ningekuwa naielewa ningeenda bila hiyana .

Mxiuuu unashida wa ovyoo nilidhani mesha unaakili kumbe zeroo .

Anashida muombee mkopo ulipe kidogo kidogo
 
Samahani ni sababu lakn naona inawez kuwa sio sababu ya msingi sana kwenye swala hilo ni kama personal

Unawez jitoa hvyo ukaacha mambo yako ukamsaidia rafik yako alafu akajafanikiw asikuzingatie ,...

Hatua hiyo niyaku balance mambo brother mara 10 angekuw ndugu
 
Sijui tatizo ni malezi au substitute ya akili kuwekewa maji ya dafu.

Vijana mnakwama wapi?
 
Waungwana, tukomenti bila matusi tafadhali. Ukiona huna cha kuandika zaidi ya matusi, hebu tulia kwanza. Huenda ukapata wazo la kujenga baadae. Hili ni jukwaa la kijamii basi tujamiiane kiungwana.
 
Inasikitisha sana kwamba ungeoa alaf bado ni maskini maana mahari ya m2.5 na kumshika mwenzako mkono unashindwaje kuvisimamia pamoja au 2.5 ndo ilikua akiba yako ya maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana kuoa sio punzi kwamba kila mmoja ataivuta na kiufupi dem kakuona fala huna mipango kwan tunasaidia wangapi na bado familia zinasimama wima mambo yanaenda.

Kwa akili zako na kipato chako jitahidi uwe mtu wa kubana maana ukija kuoa familia hutaiweza kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni maskini ndugu bora dem asepe hapo hakuna muoaji wala nn na hyo mahari yenyewe hawez kuwa nayo kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio Ni Moja Kati ya maamuzi magumu ambayo yanaweza kufanywa na mwanaume yeyote.

Ila mchumba wako naye kuzingua Sana jamani.Inaonekana alikuwaga na back up ya mwanaume mwingine na alikuwa anakusubiri uzingue tu kidgo afu ye asepe mazima.
Dem si kashasoma toka kitambo kua yupo na zuzu kwann asiwe na back up tena sio moja na zenye mkwanja kumzidi huyo muoaji mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Mwanaume. Lakini umefikiria hisia za Mchumba wako pia angalau ukampa muda atleast kusema nimeghairisha sasa ila nitatoa mahari baada ya miezi 3 au 6 baadae?

Hongera kwa uamzi makini.
 
Wewe ni Mwanaume. Lakini umefikiria hisia za Mchumba wako pia angalau ukampa muda atleast kusema nimeghairisha sasa ila nitatoa mahari baada ya miezi 3 au 6 baadae?

Hongera kwa uamzi makini.
Nimefikiria sana mkuu. Mpaka anaondoka, nimemsihi akibadili mawazo arudi ila kama ndio final decision basi, awe na mwisho mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…