Nimesitisha kutoa mahari

Nimesitisha kutoa mahari

Nimejitahidi kufanya yote kwa wakati mmoja na kumuelekeza mambo mengi tu niliofanikiwa kwa sababu ya huyu rafiki yangu. Tatizo lilikuwa kwamba alitaka hilo jambo lifanyike before xmas. Lakini kwanini tufanye haraka hivi na wakati kuna mtu wa muhimu kwetu ana changamoto? Ok, tufanye tarehe nyingine ndani ya mwezi huu. Bado mambo hayakueleweka!
Kumbe sababu ni Xmas? Alitaka kuwatambia mashoga zake🤣🤣
Kweli umemuudhi.
 
Awazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.
Sasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauri
1.huwa namwambia mtu yoyote haswa mume wangu kama kuna mtu alishakusaidia huko awali (usimtupe)
Unaluta watu wanapiga simu kama mvua lakini enzi hizo hawakukusaidia hata 100 mbovu(kinyume na hapo sasa)
Kwa sababu uja indicate ni changamoto gani rafk yako anapitia iwenda ikawakubwa labda ya kiafya ambayo inaahitaji msaada wa haraka.
umefanya vyema kwa kuwa wewe ndo unaielewa situation
Ila kama kuna mtu alikusaidia mwanzo usimtupe katika namna yoyote yaani mpambanie
(Mimi kwa upande wangu)
Zaidi ya mama angu SINA KIUMBE MWINGINE ALIYEWAHI NISAIDIA.(so naweza nisimpe mume wangu hata sumni akiwa na shida nikamtumia mama angu bila hata kuwaza mara mbili...yaani dakika sifuri muhamala umesoma...
2.unaonekana ni mkweli sana.wanawake hawapendi ukweli...naku adivice ungemdanganya kwamba kuna kitu hakijaemda sawa kwa hiyo nasogeza mbele.
Ila hata pamoja nakumpa ukweli ameona hujamthamini kwa kuwa hakua kipindi hicho mkisaidiana na rafki yako
(Ndo naona watu wengi wanavyokoment)
Simple simple kwa kiwa hawajui huyo jamaa alikusaidia vip
Yawezekana ni zaidi ya ulivyoandika kwamba alikuokoa shidani kwelikweli.

Cha mwisho wanawake wana hasira za hapa na pale (japo sio wote)
Atakaa atatafakari then atarudi
Ila comsider that as a red light
Trust me....kuna watu wanawasaidia hadi waume zao kulipa hizo mahari
Panga makabati vizuri kwenye hili sakata
 
Dada yuko sawa. Mkuu kweli rafikiyo kapata shida lakin mke ni muhimu pia. Kwanini usingeenda kujicommit ukweni na kias flani cha fedha. Hii inaonekana kama umemdharau na hakuna mwanamke anaependa kuwekwa pembeni kama refa tu....
Mkuu, nilidhamiria kwenda kukamilisha hilo suala tarehe 28 badala ya tarehe 20. Nimenyenyekea sana yaani sana. Lakini hope ameamua kilicho sahihi kwake and that's life.
 
Hivi wewe unaijua Physics Chemistry na Math? Hiyo ndoa haiwezi kuwa muhimu bila msaada wa Rafiki yake.

Huyu bwana atakuwa ni Engineer bila shaka anatambua alikotoka.

Pesa nyingine itakuja tu na Rafiki yake atatoka
 
Mkuu, nilidhamiria kwenda kukamilisha hilo suala tarehe 28 badala ya tarehe 20. Nimenyenyekea sana yaani sana. Lakini hope ameamua kilicho sahihi kwake and that's life.
Sor wewe ni kabila gani?
 
Sasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauri
1.huwa namwambia mtu yoyote haswa mume wangu kama kuna mtu alishakusaidia huko awali (usimtupe)..
Dada uko vizuri. Kupanga ni Kuchagua

Jpm 2021
 
Sasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauri
1.huwa namwambia mtu yoyote haswa mume wangu kama kuna mtu alishakusaidia huko awali (usimtupe)...
Ni kweli, nimeandika mambo machache sana kumhusu. Nilifikia hatua ya kutafuta watu hapa jukwaani kumsaidia wakati nilipokuwa mbali.

Walitoa ahadi za kumsaidia mwisho wa siku wakaishia mitini hata pm tu hawajibu. He is more than a friend! Kilichomtokea kinaweza kumpata mwanaume yeyote yule. Isingekuwa fair kwangu kuendelea kumuona anateseka.

Kwa vyovyote vile, nitazibeba lawama ila akifikiria kurudi, the door is open!
 
Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano.

Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana....
Mke ni kitu kingine kabisa ana haki ya kuvunja huo uchumbah uyo dada Kwan ameona fika yy hana thamani kama huyo rafiki yako uliemthamini umempotezea muda dada wa watu ndugu yangu
 
Hongera kwa kutua mzigo...na hongera kwa kumsaidia mdau...life is a cycle you never know, yani huyo kiumbe kama amekubali kirahisi hivyo kusepa nenda katoe sadaka kabisa kwa matatizo ya mdau yamekuepusha na kitu
 
Hujafanya poa na unakaa ujinga Fulani, kwenye mahari ungependa kutoa hata nusu na rafiki Yako ungeweza msaidia tu...
wewe ni jinsia gani ? Acha makasiriko ....

Huyo mwanamke hafai narudia hafai

Na Hana uvumilivu, je ingekuwa ni tatizo linalohitaji fedha mbali na kumpa huyo rafiki yake c angemuacha pia?

Huyo mwanamke ana bwana wake mwingine... Piga chini

Kuna maisha baada ya Leo.

Tena ningekuwa mm nisingemnyenyekea Mimi ningemchapa na viboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan kwa miaka hiyo miwili yote hujaona hakufai Leo ndo ugundue hill chizi la huyo mtu Mungu hatokuacha salama
 
Yan kwa miaka hiyo miwili yote hujaona hakufai Leo ndo ugundue hill chizi la huyo mtu Mungu hatokuacha salama
Mwanamke ni kama kitabu wakati unamaliza ukurasa wa mwisho wa kitabu yeye ndio anaanza upya...

Na ndio maana unaweza kutana na mwanamke ukamuona mpole na werevu ... Ukishamuoa ndio unaghundua ni Malaya na takataka

Bora Huyo kaanza kuonyesha alivyo ..means angemuoa Angeoa bomu...

Hafai hafai ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boya sana we jamaaa na usibishe!
Mwanaume anaejielewa pia asingekubali kamuombe msamaha dada wa watu unachokitafuta utakipata nakwambia u choose your friend over your future 1 mbn ukiwa na kiu humuombi huyo rafiki yako
 
Mwanaume anaejielewa pia asingekubali kamuombe msamaha dada wa watu unachokitafuta utakipata nakwambia u choose your friend over your future 1 mbn ukiwa na kiu humuombi huyo rafiki yako
Acha basi hizi habari
 
Bora hata umevunja huo uchumba maana hta kutumua busara kidogo Kwa mwenzio huwezi na ukisema Cha nini wenzio wanawaza watakipata lini atapata mchumba mwingine pia na ataolewa vilevile
Seriously wanawake hamna wema na hamtakuwa nai. Kuishi na mwenzako 2yrs unachukulia kama wewe umemfanyia favor mwanaume, duh! Nakatika miaka hiyo yote mliishi kwa amani kila mmoja akifanya majukumu yake, mwanaume hakukuomba nilipe pesa ya kuishi na kukulipa humu ndani ila wewe unataka ulipwe [emoji23][emoji23]. Kitu msichokijua, hamjui mtu ametokea wapi bali mmekuta mafanikio ndani basi nanyi mkajibebesha tuzo[emoji1787][emoji1787]. Tangu utotoni mwanaume hupitia maisha ya changamoto kama mwanamkw na hata zaidi ila nyie mwaona kuishi tu na mwanaume kuwa mmefanya favor. At this point huoni maana ya ndoa maana mmoja anaifanya ndoa ni biashara[emoji23][emoji23][emoji23]. I really hate women! Hamna shida tuendelee kuishi.
 
Back
Top Bottom