Awazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.
Sasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauri
1.huwa namwambia mtu yoyote haswa mume wangu kama kuna mtu alishakusaidia huko awali (usimtupe)
Unaluta watu wanapiga simu kama mvua lakini enzi hizo hawakukusaidia hata 100 mbovu(kinyume na hapo sasa)
Kwa sababu uja indicate ni changamoto gani rafk yako anapitia iwenda ikawakubwa labda ya kiafya ambayo inaahitaji msaada wa haraka.
umefanya vyema kwa kuwa wewe ndo unaielewa situation
Ila kama kuna mtu alikusaidia mwanzo usimtupe katika namna yoyote yaani mpambanie
(Mimi kwa upande wangu)
Zaidi ya mama angu SINA KIUMBE MWINGINE ALIYEWAHI NISAIDIA.(so naweza nisimpe mume wangu hata sumni akiwa na shida nikamtumia mama angu bila hata kuwaza mara mbili...yaani dakika sifuri muhamala umesoma...
2.unaonekana ni mkweli sana.wanawake hawapendi ukweli...naku adivice ungemdanganya kwamba kuna kitu hakijaemda sawa kwa hiyo nasogeza mbele.
Ila hata pamoja nakumpa ukweli ameona hujamthamini kwa kuwa hakua kipindi hicho mkisaidiana na rafki yako
(Ndo naona watu wengi wanavyokoment)
Simple simple kwa kiwa hawajui huyo jamaa alikusaidia vip
Yawezekana ni zaidi ya ulivyoandika kwamba alikuokoa shidani kwelikweli.
Cha mwisho wanawake wana hasira za hapa na pale (japo sio wote)
Atakaa atatafakari then atarudi
Ila comsider that as a red light
Trust me....kuna watu wanawasaidia hadi waume zao kulipa hizo mahari
Panga makabati vizuri kwenye hili sakata