Nimesitisha kutoa mahari

Waafrika mpaka leo 2022 bado tunapambana na mambo ya mahari, kubadilishana nwanamke lwa ng'ombe
 
Kasema rafiki alishamsaidia sana kitambo ni muda wake wa kulipa fadhila
 
Huyo mwanamke wenge sana, watu wanaahirisha ndoa na harusi na kupeleka mbele tarehe ije kuwa kutoa mahari? huyo bora kajiondokea kwenye maisha yako angekusumbua tu na hata akirudi usimpokee kwanza mwache ajute kwanza..

Mtu anashindwaje kusubiri wiki moja tu yaani badala ya mahari kutolewa tarehe 20 ikawa tarehe 28 eti unakataa na kuvunja uchumba????? huyo mwanamke zero brain kabisa...achana nae ndugu huyo hafai hana subira kabisa.

umefanya vema kumsaidia rafiki yako, na Mungu akupe mwanamke mwingine bora kuliko huyo
 
Amina mkuu
 
Hakutaka kukubali. Mfano, nilimsihi nipeleke mahari tarehe 28 badala ya tarehe ya mwanzo. Tena kwa kunyenyekea sana lakini bado akesema hapana. Nilitumia busara sana ila hakuwa tayari kuelewa.
Hahaha ana bahati huyo dada
Mpaka leo sisi mahari haijatimia mpaka unawaza unaendaje nyumbani kila siku unaongeza watoto
 
Waungwana, tukomenti bila matusi tafadhali. Ukiona huna cha kuandika zaidi ya matusi, hebu tulia kwanza. Huenda ukapata wazo la kujenga baadae. Hili ni jukwaa la kijamii basi tujamiiane kiungwana.
Una fanya mambo ya kipumbavu unataka utetewe kwa upole.

Mwanamke umekaa nae miaka Miwili anakufanyia yote bure leo unaenda kutoa mahari unahairisha kwa sababu ya kumsaidia rafiki.

Itoshe kusema wewe ni mnafiki kaka katika haya maisha kitu cha muhimu ni familia kama wazazi wetu wasingetupa vipaumbele nadhani tusingefika hapa .

Sasa ulishindwa nini kupeleka million 1.5 kama mahari na moja umpe rafiki yako.

Mwanamke ameumia sana maana umemdharau.

Kiukweli wewe ni bongo lala .

Mwenye akili Matakoni
 
Common sense is not common!
 
Umeamua vyema kusimama na rafiki yako.

Ukimaliza kumwinua utamkuta akikusaidia kumtafuna mchumba wako mpya bila hiyana tena kitandani mwako

Haya ndiyo maisha.
 
Umeamua vyema kusimama na rafiki yako.

Ukimaliza kumwinua utamkuta akikusaidia kumtafuna mchumba wako mpya bila hiyana tena kitandani mwako

Haya ndiyo maisha.
Awazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.
 
piga chini wanawake hawanaga shukurani
 
Awazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.
Akifanya hivyo ni juu yake ila wewe umefanya wajibu wako na umeridhisha nafsi yako kwa Rafiki yako aliyekutoa kimaso maso.

Ingawa sina pesa za kutoa shukrani kwa walioniwezesha kusoma PCB nami naungana na wewe kuwashukuru wafuatao.

1. Mwl Amos popote ulipo
2. Mwl Pili a.k.a Avogadro
3. Dr Gadi Fanuel
4. Na wafuatao sijui fani zao za sasa mapacha Kurwa na Doto watoto wa mfanya biashara ya mafuta Mzee Damian

Mungu awabariki sana.
 
Dada yuko sawa. Mkuu kweli rafikiyo kapata shida lakin mke ni muhimu pia. Kwanini usingeenda kujicommit ukweni na kias flani cha fedha. Hii inaonekana kama umemdharau na hakuna mwanamke anaependa kuwekwa pembeni kama refa tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…