February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Waafrika mpaka leo 2022 bado tunapambana na mambo ya mahari, kubadilishana nwanamke lwa ng'ombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tamaduni zetuWaafrika mpaka leo 2022 bado tunapambana na mambo ya mahari, kubadilishana nwanamke lwa ng'ombe
Yani ukikulia familia wanaokula makamasi hata ukikua watu wakakuelekeza uache, hautaacha kwasababu ni utamaduni wenu?Ndio tamaduni zetu
Mbona unatumia lugha ngumu sana, ulitaka kushaurije?Yani ukikulia familia wanaokula makamasi hata ukikua watu wakakuelekeza uache, hautaacha kwasababu ni utamaduni wenu?
NimeshakisemaMbona unatumia lugha ngumu sana, ulitaka kushaurije?
OkNimeshakisema
Kasema rafiki alishamsaidia sana kitambo ni muda wake wa kulipa fadhilaSamahani ni sababu lakn naona inawez kuwa sio sababu ya msingi sana kwenye swala hilo ni kama personal
Unawez jitoa hvyo ukaacha mambo yako ukamsaidia rafik yako alafu akajafanikiw asikuzingatie ,...
Hatua hiyo niyaku balance mambo brother mara 10 angekuw ndugu
Amina mkuuHuyo mwanamke wenge sana, watu wanaahirisha ndoa na harusi na kupeleka mbele tarehe ije kuwa kutoa mahari? huyo bora kajiondokea kwenye maisha yako angekusumbua tu na hata akirudi usimpokee kwanza mwache ajute kwanza..
Mtu anashindwaje kusubiri wiki moja tu yaani badala ya mahari kutolewa tarehe 20 ikawa tarehe 28 eti unakataa na kuvunja uchumba????? huyo mwanamke zero brain kabisa...achana nae ndugu huyo hafai hana subira kabisa.
umefanya vema kumsaidia rafiki yako, na Mungu akupe mwanamke mwingine bora kuliko huyo
Hahaha ana bahati huyo dadaHakutaka kukubali. Mfano, nilimsihi nipeleke mahari tarehe 28 badala ya tarehe ya mwanzo. Tena kwa kunyenyekea sana lakini bado akesema hapana. Nilitumia busara sana ila hakuwa tayari kuelewa.
Wengine hawataki mkopo. Wanasema waoaji ni wengi tu.Hahaha ana bahati huyo dada
Mpaka leo sisi mahari haijatimia mpaka unawaza unaendaje nyumbani kila siku unaongeza watoto
Una fanya mambo ya kipumbavu unataka utetewe kwa upole.Waungwana, tukomenti bila matusi tafadhali. Ukiona huna cha kuandika zaidi ya matusi, hebu tulia kwanza. Huenda ukapata wazo la kujenga baadae. Hili ni jukwaa la kijamii basi tujamiiane kiungwana.
Common sense is not common!Una fanya mambo ya kipumbavu unataka utetewe kwa upole.
Mwanamke umekaa nae miaka Miwili anakufanyia yote bure leo unaenda kutoa mahari unahairisha kwa sababu ya kumsaidia rafiki.
Itoshe kusema wewe ni mnafiki kaka katika haya maisha kitu cha muhimu ni familia kama wazazi wetu wasingetupa vipaumbele nadhani tusingefika hapa .
Sasa ulishindwa nini kupeleka million 1.5 kama mahari na moja umpe rafiki yako.
Mwanamke ameumia sana maana umemdharau.
Kiukweli wewe ni bongo lala .
Mwenye akili Matakoni
Umeamua vyema kusimama na rafiki yako.Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano.
Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana.
Nilimuona rafiki yangu wa karibu wa siku nyingi ambae alikuwa msaada kwangu toka tukiwa shuleni. Physics, chemistry na maths nilifaulu kwa sababu ya uwepo wake.
Nimetafakari mno na hatimaye, jana nilimueleza wazi mchumba wangu kwamba siwezi kuendelea na zoezi la utoaji mahari kwao kwa sababu kuna mtu ambae nahitaji kumshika mkono aondokane na magumu yanayomkabili kwa sasa.
Alisema hakuna shida na kisha kuomba kuvunja uchumba wetu. Sikuchukua muda tena kulifikiria hilo. Nimekubali na kumtakia kila la kheri katika maisha yake mengine.
NITASIMAMA NA RAFIKI YANGU!
Awazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.Umeamua vyema kusimama na rafiki yako.
Ukimaliza kumwinua utamkuta akikusaidia kumtafuna mchumba wako mpya bila hiyana tena kitandani mwako
Haya ndiyo maisha.
Mpe second option to be fairNimefikiria sana mkuu. Mpaka anaondoka, nimemsihi akibadili mawazo arudi ila kama ndio final decision basi, awe na mwisho mwema.
piga chini wanawake hawanaga shukuraniTarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano.
Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana...
Akifanya hivyo ni juu yake ila wewe umefanya wajibu wako na umeridhisha nafsi yako kwa Rafiki yako aliyekutoa kimaso maso.Awazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.