Kumbe sababu ni Xmas? Alitaka kuwatambia mashoga zake🤣🤣Nimejitahidi kufanya yote kwa wakati mmoja na kumuelekeza mambo mengi tu niliofanikiwa kwa sababu ya huyu rafiki yangu. Tatizo lilikuwa kwamba alitaka hilo jambo lifanyike before xmas. Lakini kwanini tufanye haraka hivi na wakati kuna mtu wa muhimu kwetu ana changamoto? Ok, tufanye tarehe nyingine ndani ya mwezi huu. Bado mambo hayakueleweka!
Sasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauriAwazacho mtu nafsini mwake,,,kila jambo lina wakati wake.
Mkuu, nilidhamiria kwenda kukamilisha hilo suala tarehe 28 badala ya tarehe 20. Nimenyenyekea sana yaani sana. Lakini hope ameamua kilicho sahihi kwake and that's life.Dada yuko sawa. Mkuu kweli rafikiyo kapata shida lakin mke ni muhimu pia. Kwanini usingeenda kujicommit ukweni na kias flani cha fedha. Hii inaonekana kama umemdharau na hakuna mwanamke anaependa kuwekwa pembeni kama refa tu....
Hivi wewe unaijua Physics Chemistry na Math? Hiyo ndoa haiwezi kuwa muhimu bila msaada wa Rafiki yake.Dada yuko sawa. Mkuu kweli rafikiyo kapata shida lakin mke ni muhimu pia. Kwanini usingeenda kujicommit ukweni na kias flani cha fedha. Hii inaonekana kama umemdharau na hakuna mwanamke anaependa kuwekwa pembeni kama refa tu....
Bas hamkupangwa kuwa pamoja. Mshukuru Mungu na yeye akamshukuru Mungu wake.Mkuu, nilidhamiria kwenda kukamilisha hilo suala tarehe 28 badala ya tarehe 20. Nimenyenyekea sana yaani sana. Lakini hope ameamua kilicho sahihi kwake and that's life.
Sor wewe ni kabila gani?Mkuu, nilidhamiria kwenda kukamilisha hilo suala tarehe 28 badala ya tarehe 20. Nimenyenyekea sana yaani sana. Lakini hope ameamua kilicho sahihi kwake and that's life.
Dada uko vizuri. Kupanga ni KuchaguaSasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauri
1.huwa namwambia mtu yoyote haswa mume wangu kama kuna mtu alishakusaidia huko awali (usimtupe)..
Ni kweli, nimeandika mambo machache sana kumhusu. Nilifikia hatua ya kutafuta watu hapa jukwaani kumsaidia wakati nilipokuwa mbali.Sasa nimesoma uzi wako na nimesoma comments lakini nina mawili ya kukushauri
1.huwa namwambia mtu yoyote haswa mume wangu kama kuna mtu alishakusaidia huko awali (usimtupe)...
Nusu kuna baadhi ya familia huwa hawakubali wanakomaa kwelikweli...jamaa yuko sawaHujafanya poa na unakaa ujinga Fulani, kwenye mahari ungependa kutoa hata nusu na rafiki Yako ungeweza msaidia tu...
Mke ni kitu kingine kabisa ana haki ya kuvunja huo uchumbah uyo dada Kwan ameona fika yy hana thamani kama huyo rafiki yako uliemthamini umempotezea muda dada wa watu ndugu yanguTarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano.
Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana....
NitakujibuSor wewe ni kabila gani?
wewe ni jinsia gani ? Acha makasiriko ....Hujafanya poa na unakaa ujinga Fulani, kwenye mahari ungependa kutoa hata nusu na rafiki Yako ungeweza msaidia tu...
Yan kwa miaka hiyo miwili yote hujaona hakufai Leo ndo ugundue hill chizi la huyo mtu Mungu hatokuacha salamawewe ni jinsia gani ? Acha makasiriko ....
Huyo mwanamke hafai narudia hafai
Na Hana uvumilivu, je ingekuwa ni tatizo linalohitaji fedha mbali na kumpa huyo rafiki yake c angemuacha pia?
Huyo mwanamke ana bwana wake mwingine... Piga chini
Kuna maisha baada ya Leo.
Tena ningekuwa mm nisingemnyenyekea Mimi ningemchapa na viboko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ni kama kitabu wakati unamaliza ukurasa wa mwisho wa kitabu yeye ndio anaanza upya...Yan kwa miaka hiyo miwili yote hujaona hakufai Leo ndo ugundue hill chizi la huyo mtu Mungu hatokuacha salama
Mwanaume anaejielewa pia asingekubali kamuombe msamaha dada wa watu unachokitafuta utakipata nakwambia u choose your friend over your future 1 mbn ukiwa na kiu humuombi huyo rafiki yakoBoya sana we jamaaa na usibishe!
Acha basi hizi habariMwanaume anaejielewa pia asingekubali kamuombe msamaha dada wa watu unachokitafuta utakipata nakwambia u choose your friend over your future 1 mbn ukiwa na kiu humuombi huyo rafiki yako
Umenikwaza hugo jamaa but sorry lknAcha basi hizi habari
Seriously wanawake hamna wema na hamtakuwa nai. Kuishi na mwenzako 2yrs unachukulia kama wewe umemfanyia favor mwanaume, duh! Nakatika miaka hiyo yote mliishi kwa amani kila mmoja akifanya majukumu yake, mwanaume hakukuomba nilipe pesa ya kuishi na kukulipa humu ndani ila wewe unataka ulipwe [emoji23][emoji23]. Kitu msichokijua, hamjui mtu ametokea wapi bali mmekuta mafanikio ndani basi nanyi mkajibebesha tuzo[emoji1787][emoji1787]. Tangu utotoni mwanaume hupitia maisha ya changamoto kama mwanamkw na hata zaidi ila nyie mwaona kuishi tu na mwanaume kuwa mmefanya favor. At this point huoni maana ya ndoa maana mmoja anaifanya ndoa ni biashara[emoji23][emoji23][emoji23]. I really hate women! Hamna shida tuendelee kuishi.Bora hata umevunja huo uchumba maana hta kutumua busara kidogo Kwa mwenzio huwezi na ukisema Cha nini wenzio wanawaza watakipata lini atapata mchumba mwingine pia na ataolewa vilevile