Lof.a flani tu liliwahi fanya kazi kitengo saizi liko ughaibuni linabeba boksi.
Kabisa mkuuBinafsi nimenunua na always kuna mengi ya kujifunza. Inategemea uelewa wa mtu na uwezo wa kusoma katikati ya mistari
Siku hizi hacomment chochote humuEvarist Chahali kuja pande. Kitabu kinachambuliwa
Dhibitisha mzee wanguMagufuli tunampenda, ila anaudhi Sana. Kasikia Kigogo2014 Ni mtu wa Iringa, kaanza Sasa kuwateka Wanyalu.
Sio kweli kuwa anapendwa, ikifungwa hii JF, halafu ikafunguliwa JF ya CCM basi wote tutabadilika na kuanza kumsifia tuMagufuli tunampenda, ila anaudhi Sana. Kasikia Kigogo2014 Ni mtu wa Iringa, kaanza Sasa kuwateka Wanyalu.