Kitu cha kwanza unachotakiwa kupima kwenye merit ya kitabu kabla yakupoteza muda wako angalia nani publisher na reputation ya kampuni.
Ndio maana mzee Mohammed Said huwa anajitapa chake kimechapwa na Oxford University Press. That is a big endorsement ina maana wanakubali research na facts za kitabu.
Hakuna publisher ata back kitabu ambacho hakina merit ya subject matter, even fiction book has to resemble facts.
The mere fact kitabu kakichapa mwenyewe Chahali na kampuni yake ya ‘AdelPhil Consultancy’ tena ni zile kampuni ambazo waafrika wanafungua kuombea hela za kusaidia afrika kwa wazungu. Ina maana humo ndani ya kitabu utakuta upuuzi mtupu kumejaa opinion tu and nothing of substantiation facts.
Kama mtu ana muda wa kupoteza anaweza pata bure tu kitabu chenyewe
Kitabu hiki adimu kinaelezea kwa kina kuhusu fani nyeti ya Uafisa Usalama wa Taifa (ushushushu). Maelezo hayo yanahusu maana ya Uafisa Usalama wa Taifa, watu wanaojihusisha na fani hiyo, jinsi wanavyopatikana, mafunzo yao, maisha yao kazini, na changamoto mbalimbali kitaifa na kimataifa...
books.google.co.uk