Nimesoma kitabu cha Evarist Chahali na kukatishwa tamaa

Binafsi nimenunua na always kuna mengi ya kujifunza. Inategemea uelewa wa mtu na uwezo wa kusoma katikati ya mistari

Hapo umesema kweli.Kwangu Mimi kama mwanasheria na mfuatiliaji wa kina kwa mambo yanayoendelea nchini na duniani,kitabu hicho kimejaa fununu na taarifa za kuokoteza zaidi.
 
Chahali bana, huwa simwelewi alisomea wapi intelligence, Magufuli anapendwa na mambumbumbu wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wananchi wanaompenda Mobutu wako wapi, angeacha uchaguzi wa serikali za mitaa akaapata aibu ya karne ambavyo angeangukia pua. Endeleeni kumdanganya na kujifurahusha kwa matumaini hewa.
 
Mobutu seseseko kuku wa zabanga tanganyika.
 
Kitu cha kwanza unachotakiwa kupima kwenye merit ya kitabu kabla yakupoteza muda wako angalia nani publisher na reputation ya kampuni.

Ndio maana mzee Mohammed Said huwa anajitapa chake kimechapwa na Oxford University Press. That is a big endorsement ina maana wanakubali research na facts za kitabu.

Hakuna publisher ata back kitabu ambacho hakina merit ya subject matter, even fiction book has to resemble facts.

The mere fact kitabu kakichapa mwenyewe Chahali na kampuni yake ya ‘AdelPhil Consultancy’ tena ni zile kampuni ambazo waafrika wanafungua kuombea hela za kusaidia afrika kwa wazungu. Ina maana humo ndani ya kitabu utakuta upuuzi mtupu kumejaa opinion tu and nothing of substantiation facts.

Kama mtu ana muda wa kupoteza anaweza pata bure tu kitabu chenyewe

 
Kuna mwanaccm anaweza kusoma kitabu akaelewa kweli, ccm kazi yenu ni kusifu na kuabudu
 
Wabongo tu wavivu wa kusoma hadi kinyaa. Kinachozungumziwa sio hicho ulichoweka.
Yaani una comment kwenye kitu tofauti na mada.
 
Hao wananchi wanaompenda Mobutu wako wapi, angeacha uchaguzi wa serikali za mitaa akaapata aibu ya karne ambavyo angeangukia pua. Endeleeni kumdanganya na kujifurahusha kwa matumaini hewa.
Kuna Report moja ilitoka ya TWAWEZA NA NYINGINE KUTOKA KWENYE VYA INTELEJENSIA KUWA JPM AMESHUKA SANA % ZA USHAWISHI KUTOKA 89% KWA MWAKA 2016 HADI 48% KWA MWAKA 2018 ...HII NDO INAMFANYA JPM ATUMIE MABAVU KUKUBARIKA ...JAPO % KUBWA HAKUBARIKI...KUTHIBITISHA HILO AGOMBEE PEKE YAKE 2020 HALAFU TUPIGE KURA YA NDOA NA HAPANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…