Nimesoma kitabu cha Evarist Chahali na kukatishwa tamaa

Mimi nilinunua li kitabu la Yerico la Ujasusi wa kidola, yaliyomo ni ujinga mtupu, sijajifunza lolote hadi sasa.

Kitabu kimejaa errors nyingi, sidhani kama kilihaririwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwepo,ilianza mara baada ya Uhuru na mwanzilishi alikuwa Emirius Mzena
TISS enzi za mwalimu haikuwepo. Huyo Mzena hakuwa Mkurugenzi wa TISS wala Hassy Kitine hakuondolewa akiwa Mkurugenzi wa TISS kwa kuwa haikuwepo.
 
Pole sana kwa kupoteza muda wako

Siku nyingine Uliza kidogo kuhusu credibility ya muandishi.

Hopeless Chahali
 
Maelekezo ya kukipata kitabu hicho haya hapa chini.
 

Attachments

  • Screenshot_20191225-131035.png
    107.1 KB · Views: 16
Kwa sababu wananchi wa kawaida hawana elimu na ufaham wao ni mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapojifanya mjuaji kwenye vitabu vya watu hutaeleweka , kwanini usitunge chako ?
 
Wananchi wa kawaida wanampenda mno Rais Magufuli.
Wewe ni darasa la saba. Kwanini nasema hivyo? katika nchi ambayo haina uhuru wa habari, kusema , kuandika utawezaje kutoa conclusion kama hiyo? Wape watu uhuru waseme, weka uchaguzi huru uone kama kweli anapendwa. kama angelikuwa anapendwa, kwanini avuruge uchaguzi maana walalahoi ndio wanaompenda Rais kama ulivyosema, sasa anaogopa ninikama wanampenda? Kwanini awateke watu kama anapendwa? anaogopa nini? si unapendwa, acha watu wabwatuke maana hawana athali kwako!
 
Kwa kazi nzuri anayofanya Mh Magufuli lazima awe na maadui waliokuwa wakipata dili Michepuko. Mh John Pombe Joseph Magufuli anapendwa na watu wengi sana. Nidhamu aliyoleta hapa nchini maendeleo ya nyanja mbalimbali aliyojenga anayemchukia ni shetani k ani hata kichaa anampenda. Mungu Mbariki Rais wetu na umlinde
 
Mimi nilinunua li kitabu la Yerico la Ujasusi wa kidola, yaliyomo ni ujinga mtupu, sijajifunza lolote hadi sasa.

Kitabu kimejaa errors nyingi, sidhani kama kilihaririwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulidhani kimechapwa kwa rangi na picha za kuvutia..?
Sio kila mtu anaweza kusoma kitabu na akaelewa, kubali haukuandikiwa wewe.... endelea kusoma vijarida vya Shigongo kufurahisha ubongo kama unao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…