Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Utazuiaje? Si kuna Law ya supply na demand? Mimi na dolla zangu unanipangia nizitumieje? Nenda ChinaTuna paswa kuzuia uagizaji wa bidhaa zote ambazo sio muhimu sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utazuiaje? Si kuna Law ya supply na demand? Mimi na dolla zangu unanipangia nizitumieje? Nenda ChinaTuna paswa kuzuia uagizaji wa bidhaa zote ambazo sio muhimu sana...
Kwa hiyo kwa lugha rahisi unasema uue baadhi ya biashara za Watu. Toy zenyewe zinatumia dola kiasi gani, sidhani kama zina impact yeyote kwenye upungufu wa dola. Gusa bidhaa nyingine nzito nzito uone moto wakeToy za watoto...
Kama hizo na zingine...
Mnazuia for a year tu
Mbona tumezuia vifaranga vya kuku?..Utazuiaje? Si kuna Law ya supply na demand? Mimi na dolla zangu unanipangia nizitumieje? Nenda China
Mbona tuli ban importing vifaranga?Kwa hiyo kwa lugha rahisi unasema uue baadhi ya biashara za Watu. Toy zenyewe zinatumia dola kiasi gani, sidhani kama zina impact yeyote kwenye upungufu wa dola. Gusa bidhaa nyingine nzito nzito uone moto wake
Yanaagizwa na makampuni binafsi yaliyopewa tender na serikaliMafuta yanaagizwa na serikali au makampuni ya biashara ya mafuta?