so utani wa vile kwako ni sahihi mkuu?Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.
Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.
Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.
Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.
so utani wa vile kwako ni sahihi mkuu?
dah! bt mkuu kuna masihara mengine yanadhalilisha utu, imagine unamuulizia dada kaliwa vingapi sasa kwa akili hiyo siunaeza muomba papuchi dada akoNtachukulia ni masihara tuu sababu naishi hivyo sio na huyo tuu na wengi wanaopokea na kuishi mrengo wa masihara.
dah! bt mkuu kuna masihara mengine yanadhalilisha utu, imagine unamuulizia dada kaliwa vingapi sasa kwa akili hiyo siunaeza muomba papuchi dada ako
mkuu maneno huumba na kupitia kauli zetu shetani hutujaribu coz hua hapendi kupitwaDada na kaka....
Umbu na umbu..
Hapana, labda binamu.
mkuu maneno huumba na kupitia kauli zetu shetani hutujaribu coz hua hapendi kupitwa
utani mwingine si rafiki kabisa yaani uulize dada kaliwa vingapi ili ugundue niniAisee..huo utani siyo poa.
sawa ntalifanyia kazi bt utani wa aina hii umenifanya nijue kua binadam tupo tofauti sanaNi kweli, ndo maana kuna neno ILA... na LAKINI...
Maisha yanaendelea kama kawaida.
Pia maisha yana kawaida, kile unachokihofia ndo kinakufata kikutokee, unachokipuuzia na chenyewe kinakaa mbali na wewe.
Fanyia utafiti hili.
Usicomplicate sana maisha huyo anaeulizwa ni mumeo ambae mmeruhusiwa kutafunana na anaeuliza ni kaka yako ambapo anamuuliza shemeji yake kama amewezana kwny shoo sasa hilo la kuombana papuchi kaka na dada ake limetokea wapi?dah! bt mkuu kuna masihara mengine yanadhalilisha utu, imagine unamuulizia dada kaliwa vingapi sasa kwa akili hiyo siunaeza muomba papuchi dada ako
mkuu kukosa usingizi kusikufanye uwakosee adabu wengineUsicomplicate sana maisha huyo anaeulizwa ni mumeo ambae mmeruhusiwa kutafunana na anaeuliza ni kaka yako ambapo anamuuliza shemeji yake kama amewezana kwny shoo sasa hilo la kuombana papuchi kaka na dada ake limetokea wapi?
Huo ni utani wao toka enzi may be kabla hata ya uwepo wako sasa wewe umeingia katkat hawajaamua kubadilisha mifumo yao ya maisha waache waendelee na maisha yao ya utan ww kwa upande wako demand heshima unayostahili na uhakikishe unaipata mambo mengine achana nayo utaumia kichwa buuurrrreee
Shem leo umechezea vingapi?Aisee..huo utani siyo poa.
99 shemShem leo umechezea vingapi?
Kasie Matata...on ze pounti ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16]Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.
Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.
Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.
Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.
Kasie Matata...on ze pounti ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] playstation labda99 shem