Wakuu kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Kuna bwana mmoja ni jirani ana utani sana na shemeji yake, kila wakikutana/kupigiana simu na shemeji yake humuuliza leo umempiga vingapi dada angu? Jamaa naye bila haya kajibu vitatu vya afya dah!
Ukweli nilistaajabu sana utani wa aina ile hadi aibu nikaona mimi but wao wanacheka tu nakufurahi, after hapo akanambia shemeji yake anapenda utani sana na hivyo ndio wanaishi.
Ukweli binafsi siwezi fanya utani wa kijinga kama huo kwa shemeji yangu maana ni ukosefu wa adabu uliovuka mipaka.