Nimestaajabu sana huu utani wa mashemeji

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Wakuu kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Kuna bwana mmoja ni jirani ana utani sana na shemeji yake, kila wakikutana/kupigiana simu na shemeji yake humuuliza leo umempiga vingapi dada angu? Jamaa naye bila haya kajibu vitatu vya afya dah!

Ukweli nilistaajabu sana utani wa aina ile hadi aibu nikaona mimi but wao wanacheka tu nakufurahi, after hapo akanambia shemeji yake anapenda utani sana na hivyo ndio wanaishi.

Ukweli binafsi siwezi fanya utani wa kijinga kama huo kwa shemeji yangu maana ni ukosefu wa adabu uliovuka mipaka.
 
Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.

Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.

Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.

Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.
 
so utani wa vile kwako ni sahihi mkuu?
 
Ntachukulia ni masihara tuu sababu naishi hivyo sio na huyo tuu na wengi wanaopokea na kuishi mrengo wa masihara.
dah! bt mkuu kuna masihara mengine yanadhalilisha utu, imagine unamuulizia dada kaliwa vingapi sasa kwa akili hiyo siunaeza muomba papuchi dada ako
 
Dada na kaka....

Umbu na umbu..

Hapana, labda binamu.
 
mkuu maneno huumba na kupitia kauli zetu shetani hutujaribu coz hua hapendi kupitwa

Ni kweli, ndo maana kuna neno ILA... na LAKINI...

Maisha yanaendelea kama kawaida.

Pia maisha yana kawaida, kile unachokihofia ndo kinakufata kikutokee, unachokipuuzia na chenyewe kinakaa mbali na wewe.

Fanyia utafiti hili.
 
sawa ntalifanyia kazi bt utani wa aina hii umenifanya nijue kua binadam tupo tofauti sana
 
dah! bt mkuu kuna masihara mengine yanadhalilisha utu, imagine unamuulizia dada kaliwa vingapi sasa kwa akili hiyo siunaeza muomba papuchi dada ako
Usicomplicate sana maisha huyo anaeulizwa ni mumeo ambae mmeruhusiwa kutafunana na anaeuliza ni kaka yako ambapo anamuuliza shemeji yake kama amewezana kwny shoo sasa hilo la kuombana papuchi kaka na dada ake limetokea wapi?
Huo ni utani wao toka enzi may be kabla hata ya uwepo wako sasa wewe umeingia katkat hawajaamua kubadilisha mifumo yao ya maisha waache waendelee na maisha yao ya utan ww kwa upande wako demand heshima unayostahili na uhakikishe unaipata mambo mengine achana nayo utaumia kichwa buuurrrreee
 
mkuu kukosa usingizi kusikufanye uwakosee adabu wengine
 
Maisha ni vile unayachukulia na kuyapangilia uishije.

Ukitaka kijeshijeshi basi kwata itakuhusu kwenye maisha yako.

Ukitaka kipemba pemba basi urojo utakuhusu kwenye maisha yako.

Sio kesi, kutoa gesi ukiwa peke yako raha sana, nayo ni uchaguzi wa maisha.
Kasie Matata...on ze pounti ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom