Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

Tafuta ujuzi then nicheki nikutafutie ajira uache kuwa na makasiriko yasiyokuwa na maana. Hizo hasira sababu ya njaa ukishiba utakuwa unaelewa vitu vidogo kama hivi.
Ungekuwa na Kazi ya maana ungekuwa chawa .

Na unakuwa chawa wa mtu anayeoga na mama yake kwa lengo la kutimiza masharti

Pale kwa zena Mbezi beach mnakalishwa na mwanume mwenzenu

Mimi nimefanya hapo Kazi Kama security ****

Nitakulipua na tabia zenu zote
 
Mlipue huyo kiazi mlipue usimuache hivi hivi
 
Ungekuwa na Kazi ya maana ungekuwa chawa .

Na unakuwa chawa wa mtu anayeoga na mama yake kwa lengo la kutimiza masharti

Pale kwa zena Mbezi beach mnakalishwa na mwanume mwenzenu

Mimi nimefanya hapo Kazi Kama security ****

Nitakulipua na tabia zenu zote
Duh ulivyonielezea kama vile unanifahamu 😅. Lakini najua una tatizo kwenye intelligence.
 
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula kina Mchengerwa na kuongeza wake.....

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Hii point ina ukakasi sana, PM alipuyanga
 
Tafuta ujuzi then nicheki nikutafutie ajira uache kuwa na makasiriko yasiyokuwa na maana. Hizo hasira sababu ya njaa ukishiba utakuwa unaelewa vitu vidogo kama hivi.
Dogo acha mashauzi ya kijinga wakati unaishi kwa kutegemea mwili

Unakumbuka siku ile nilipoegemea Gari ya Nassib ile ya blue ikatoa sauti ndo akaja kuangalia

Unakumbuka Nassib alisemaje ?

So unajitapa JF wakati wewe masikini tu ni vile Nassib anawapa show off kula kulala na mavazi Ila in reality hamna kitu
 
Kama haya ni mawazo ya PhD candidate basi taifa lina kazi kubwa sana ya kutoka hapa tulipo.
Majaliwa yupo sahihi sana vijana kama wewe mnaongeza makaratasi mnayaita vyeti mnataka yatumike kuwaletea pesa nendeni veta au tafuteni namna ya kuwa na skills ulimwengu huu haulipwi sababu ya hayo makaratasi yako utalipwa kwa ujuzi ulionao. Achana na hiyo PhD nenda veta kwanza.
Mchina anakuja kufungua biashara ya kuosha kucha wewe mpuuzi unakusanya makaratasi unataka serikali ikutafutie ajira
Kwamba unampeleka mtu kusomea uhandisi (engineering) chuo kikuu anahitimu hakuna ajira, hawezi kujiajiri sababu hana skills (stadi za kazi)alizopaswa kupata chuo kikuu, unasema arudi elimu ya chini VETA kupata hizo skills ili aweze kujiajiri?
Kwanini usimpatie hizo skills akiwa chuo kikuu?
Hao engineers walitakiwa wawe waalimu wa VETA siyo wanafunzi wa VETA.

Tatizo hapa ni mfumo wetu wa elimu. Unazalisha watu wasio mahili. Wanakosa skills.

Note:
Kwa vile tumeshakosea kwenye elimu basi ushauri wa Kassim Majaliwa utasaidia kama mbadala. Suluhisho la muda mfupi.
 
Ni kweli elimu yetu ina shida.

Ila ukiitumia kama excuse utaozea mtaani.

Jipambanie tafuta ujuzi maisha yaende.
 
Kama haya ni mawazo ya PhD candidate basi taifa lina kazi kubwa sana ya kutoka hapa tulipo.
Majaliwa yupo sahihi sana vijana kama wewe mnaongeza makaratasi mnayaita vyeti mnataka yatumike kuwaletea pesa nendeni veta au tafuteni namna ya kuwa na skills ulimwengu huu haulipwi sababu ya hayo makaratasi yako utalipwa kwa ujuzi ulionao. Achana na hiyo PhD nenda veta kwanza.
Mchina anakuja kufungua biashara ya kuosha kucha wewe mpuuzi unakusanya makaratasi unataka serikali ikutafutie ajira
Tumia kichwa halisi kufikiri usifikirie kwa kichwa cha kwenye boxa blaza kada mkishavimbiwa huwa hamfikirii kabisa
 
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula kina Mchengerwa na kuongeza wake.....

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Dr. Mushi Kuna muda huwa tunapishana mitazamo mpaka kuparulana 😊 kwenye hili nakuunga mkono hoja yako.

Ni kweli tupu ulichokisema mbaya Zaidi utashangaa nyuzi Kama hizi kufutwa.

Kuna nguvu 2 tu zinainua Mtu kimaisha.

Kuinuliwa huko kunaweza kumfanya mtu husika asahau alipotoka.

Hizi nguvu 2 ni
1. Nguvu ya MUNGU
2. Nguvu ya IBILISI
Mara nyingi NGUVU YA IBILISI iliyomuinua Mtu kimaisha huwa Ina tabia na mazoea ya kumfanya Mtu asahau alipotoka mpaka alipo.

Ni mara chache sana kukuta Mtu aliyeinuliwa na nguvu ya Mungu kutema nyongo kama hizo😊
 
Back
Top Bottom