Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

Unaelewa maana ya komando kweli?
Kwani makomandoo hawafi kiboya au hawawezi kutekwa mazingira yeyote hata mtu mwenye mafunzo ya juu akipotea step ndogo tuu anapotea...hakuna komando atakaekaa kibandani na siraha
 
Mleta mada anajadili kuhusu shabaha ya polisi,nyinyi mnajitungia hoja nyingine!
 
Na ndiyo inavyotakiwa adui unamsuprise kwa ambush, sio unaenda vitani face2face utapasuliwa mapema Bwashee.

View attachment 1915877
my point is walishtukizwa. usualy kwa maadui wengine wanakuwa wameshajipanga.
Hata mbishe za majambazi wanakuwa na taarifa wameshajipanga.
Na kama wangekuwa wameshajipanga, hamnza asingetoboa hatua kumi.
 
Kumbe sasa tumeshajua kuwa ni polisi waliopoteza risasi zetu zaidi ya 30 wakashindwa kumuua Lissu aliyekuwa ameketi.

kwamba ni polisi tena sio wasiojulikana!!!
 
Kwa kuaga miili niliona majeneza manne.
 

siku moja ili vikuelewe vizingue,ukikakuta kamoja kamezubaa katie kofi au katishie kukapora silaha.

kitakachotikea usisite kutujuza hapa.
 
Unapokuwa polisi au mwanajeshi unatakiwa uwe umejiandaa 24/7.
my point is walishtukizwa. usualy kwa maadui wengine wanakuwa wameshajipanga.
Hata mbishe za majambazi wanakuwa na taarifa wameshajipanga.
Na kama wangekuwa wameshajipanga, hamnza asingetoboa hatua kumi.
 
Na wewe wapore hizo siraha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…